-
Wapalestina 9 wauliwa shahidi katika jinai ya kinyama ya Wazayuni katika mji wa Jenin
Jan 26, 2023 07:23Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamevamia kambi ya wakimbizi wa Palestina katika mji wa Jenin na kuwauwa shahidi Wapalestina 9.
-
Taasisi za haki za binadamu zaidi ya 170 zataka kuhitimishwa maafa ya binadamu Yemen
Jan 26, 2023 05:13Mashirika na taasisi za haki za binadamu za kimataifa zaidi ya 170 zimetaka kuhitimishwa maafa ya binadamu huko Yemen na mzingiro dhidi ya nchi hiyo.
-
Israel yakiuka sheria za kimataifa kwa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni
Jan 26, 2023 04:06Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi za vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas: Kutiwa nguvuni wanamuqawama kunakofanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuihudumia Israel
Jan 25, 2023 02:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa radiamali kufuatia hatua ya idara za usalama za Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwatia nguvuni wanamuqawama na wanachama wa harakati hiyo katika Ukingo wa Magharibi na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni sawa na kuuhudumia utawala wa Kizayuni.
-
Netanyahu azidi kupelekwa mchakamchaka, kiongozi mwingine wa serikali ajiuzuluu
Jan 24, 2023 07:40Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza hbari ya kujiuzulu kiongozi mwingine wa serikali ya utawala huo poandikizi na kuzidi kuipeleka mchakamchaka serikali yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu.
-
Mtazamo mwingine kuhusu uwekezaji mkubwa wa Bin Salman katika michezo Saudia
Jan 24, 2023 02:45Iwapo mtu yeyote atafuatilia habari za Saudi Arabia baada ya kunyakuliwa madaraka ya nchi hiyo ya kifalme na Mohammed bin Salman, atakumbana na mkanganyiko mkubwa katika mielekeo na sera za nchi hiyo.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwauwa kwa makusudi raia wa Palestina
Jan 23, 2023 23:10Jeshi la utawala wa Kizayuni limetoa taarifa na kukiri kwa namna isiyo rasmi kwamba lilimlenga na kumuua shahidi mwanamme wa Kipalestina bila ya sababu yoyote ile.
-
Kuanza tena uchunguzi kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut
Jan 23, 2023 22:53Duru za habari za Lebanon zimetangaza kuwa hakimu anayechunguza kesi ya mlipuko uliotokea mwaka 2020 katika bandari ya Beirut ameamua kuanzisha tena uchunguzi wa kesi hiyo.
-
Mashambulio ya Saudia mpakani mwa Yemen yameua watu saba na kujeruhi 91
Jan 23, 2023 07:28Duru za Yemen zimeripotiwa kuwa, tangu ulipoanza mwaka mpya wa 2023 hadi sasa, watu saba wameuawa na wengine 91 wamejeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Saudi Arabia katika maeneo ya mpakani mwa Yemen.
-
Balozi mwingine wa Israel ajiuzulu kulalamikia serikali ya misimamo ya kufurutu mpaka ya Netanyahu
Jan 23, 2023 07:14Baada ya kujiuzulu balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Ufaransa, balozi wa utawala huo nchini Canada naye pia amejiuzulu wadhifa wake kulalamikia baraza la mawaziri lenye misimamo ya kufurutu ada linaloongozwa na Benjamin Netanyahu na kumuunga mkono waziri mkuu wa zamani Yair Lapid ambaye ni kiongozi wa wapinzani wa Netanyahu.