-
Kukalia kuti kavu baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu
Jan 23, 2023 04:40Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamiin Netanyahu halijafikisha hata muda wa mwezi mmoja ambapo tayari linakabiliwa na hatari ya kusambaratika.
-
Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq
Jan 23, 2023 00:17Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake.
-
Sana'a: Uingereza sababu kuu ya uvamizi Yemen
Jan 22, 2023 07:48Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameeleza kuwa, Uingereza si tu haiwezi kusaidia kupunguza mateso na masaibu ya kiuchumi ya wananchi wa Yemen bali nchi hiyo ni sehemu kuu ya njama ya kuvamiwa nchi hiyo.
-
Kufutwa kazi Waziri wa Mambo ya Ndani katika baraza la mawaziri la Netanyahu
Jan 22, 2023 07:41Licha ya Mahakama Kuu ya utawala wa Kizayuni kubatilisha uamuzi wa Aryeh Deri kuwa Waziri wa Afya na wa Masuala ya Ndani wa utawala huo kutokana na rekodi yake mbaya ya uhalifu; vyombo vya habari vya utawala wa Israel vimetangaza kuwa Benjamin Netanyahu amemuuzulu waziri huo.
-
Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu
Jan 22, 2023 04:12Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.
-
Wajordan wakusanyika mbele ya ubalozi wa Israel kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa
Jan 21, 2023 23:01Makumi ya wananchi wa Jordan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa utawala haramu wa Israel mjini Amman ambapo sambamba na kuulaani jinai za utawala haramu wa Israel wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa msikiti wa al-Aqswa.
-
Kambi ya jeshi ya Marekani yashambuliwa kwa droni nchini Syria
Jan 21, 2023 06:52Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) imekiri kuwa, moja ya kambi za kistratejia za nchi hiyo huko kusini mwa Syria imeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani (droni).
-
Wapalestina 75,000 washiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Jan 21, 2023 02:59Makumi ya maelfu ya Waislamu wa Palestina jana walishiriki katika ibada ya Sala ya Ijumaa kwenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa, licha ya vikwazo vingi vya utawala wa Kizayuni.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqsa katika muendelezo wa uchochezi
Jan 20, 2023 23:46Makumi ya walowezi Waisraeli wamevamia eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika hatua nyingine ya uchochezi dhidi ya waumini Waislamu wa Kipalestina.
-
Kuongezeka juhudi za wapatanishi kwa ajili ya kusitisha vita Yemen
Jan 20, 2023 22:55Juhudi za pande za kigeni kwa ajili ya kufanikisha usitishaji vita huko Yemen zimeongezeka sambamba na kuanza mwaka huu mpya wa Miladia.