-
Uungaji mkono kwa taifa madhulumu la Palestina washamiri Amerika ya Latini katika mji mkuu wa Colombia
Jan 20, 2023 04:00Baraza la Manispaa la Bogotá, mji mkuu wa Jamhuri ya Colombia, limebadilisha jina la moja ya mitaa muhimu ya jiji hilo kuuita "Mtaa wa Nchi ya Palestina".
-
Bunge la Lebanon lakwama kwa mara ya 11 kumchagua Rais mpya
Jan 19, 2023 23:16Bunge la Lebanon jana lilikwama tena kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo na kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa.
-
Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jan 19, 2023 06:56Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina wawili.
-
Januari 19; Siku ya Ghaza na nembo ya muqawama wa Kiislamu
Jan 19, 2023 06:36Januari 19 imetajwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Ghaza" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 katika Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
China: Marekani ni wavamizi, wahalifu na wanapora kidhulma mafuta ya Syria
Jan 19, 2023 03:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelalamikia vikali uhalifu unaoendelea kufanywa na Marekani nchini Syria na kusema kuwa, vitendo hivyo vya Wamarekani ni wizi, ni uhalifu wa kinyama na ni uporaji wa mchana kweupe wa maliasili ya Syria.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Gaza, Waarabu watakiwa kuwa bega kwa bega na Muqawama kama ilivyo Iran
Jan 18, 2023 23:32Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Iran inaunga mkono kishujaa kadhia na piganio tukufu la Palestina; na inavyotarajiwa, nchi za Kiarabu nazo pia zichukue msimamo kama huo wa Tehran.
-
Mbunge atimuliwa Jordan kwa kumwandikia barua mrithi wa ufalme wa Saudia
Jan 18, 2023 23:30Bunge la Jordan limemfukuza mbunge wake mmoja kwa sababu ya kumwandikia barua Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia.
-
Onyo la makundi ya mapambano ya Palestina kuhusu kuimarishwa uhusiano wa Baku na Tel Aviv
Jan 18, 2023 23:04Kupitia taarifa, makundi ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameitaka Azerbaijan kutazama upya hatua yake ya kuanzisha husiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Saudia yasema inajaribu kufanya mazungumzo na Iran ili kupunguza taharuki
Jan 18, 2023 07:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mwanamfalme Faisal bin Farhan Al Saud anasema ufalme huo unajaribu kutafuta njia ya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama njia bora ya kutatua tofauti, huku kukiwa na mchakato wa kidiplomasia kati ya majirani hao wawili unaolenga kurekebisha uhusiano uliodorora.
-
Kuongezeka idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina mwaka 2022
Jan 18, 2023 05:34Vyombo vya habari vya Kiibrania vimetangaza karibuni kwamba idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu mwaka uliopita wa 2022 kutokana na mapambano makali ya Waplestina dhidi ya askari vamizi wa utawala wa Israel iliongezeka sana.