-
Wapalestina waandamana kupinga uamuzi wa kuodolewa bendera ya Palestina katika maeneo ya umma
Jan 14, 2023 08:19Mamia ya Wapalestina wakazi wa Quds Mashariki huko Palestina wameandamana kulalamikia na kupinga agizo la waziri mpya wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Israel wa kuondolewa bendera ya Palestina katika maeneo ya umma.
-
Utawala wa Kizayuni wapanga kuwatimua Wapalestina 13,000 katika mji wa Al-Quds
Jan 14, 2023 03:55Afisa mmoja wa Palestina anasema takriban wakazi 13,000 Wapalestina katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu huenda wakalazimika kuyahama makazi yao kutokana na sera za ukandamizaji za utawala ghasibu wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Jan 14, 2023 00:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na kuzungumza na Sayyid Hassan Nasrallah" Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran
Jan 14, 2023 00:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Abdullah Bou Habib amesifu na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa taifa hilo la Kiarabu.
-
HAMAS: Jinai za kila uchao za Israel hazitapita hivi hivi
Jan 14, 2023 00:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) sambamba na kusema kuwa imesikitishwa na kitendo cha kuuawa shahidi vijana wawili wa Kipalestina na utawala haramu wa Israel, imeonya kuwa, jinai za kila uchao za utawala huo wa Kizayuni hazitapita hivi hivi.
-
Katibu Mkuu wa UN: Tunalaani mauaji na hatua zote zisizo halali za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 13, 2023 07:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu matokeo hasi na yenye madhara kwa upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Kijana mwingine wa Kipalestina auliwa shahidi na Wazayuni; jumla ya mashahidi 4 katika kipindi cha saa 24
Jan 13, 2023 04:05Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wameuuwa shahidi kijana mwingine Mpalestina kwa kumpiga risasi katika kitongoji cha Qabatiya kusuini kwa mji wa Jenin jana Alhamisi.
-
Mashirika ya haki za binadamu yatangaza mshikamano na wahanga wa ukandamizaji Saudi Arabia
Jan 12, 2023 23:09Mashirika 10 ya kutetea haki za binadamu yametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wahanga wa ukandamizaji nchini Saudi Arabia hususan wanaharakati, wafungwa wa kiitikadi na shakhsia wenye taathira katika jamii.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kukiuka usitishaji vita nchini Yemen
Jan 12, 2023 23:08Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeendelea kukiuka makubaliano ya usitishaji viita ambapo katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita umekiuka usitishaji vita huo zaidi ya mara 140.
-
Ripoti: Israel Imewaua Wanahabari 55 wa Kipalestina tangu 2000
Jan 12, 2023 04:29Waandishi habari wapatao hamsini na watano wa Kipalestina wameuawa na utawala katili wa Israel tangu mwaka 2000 ikiwa ni katika njama za utawala huo wa kikoloni za kuzuia habari za jinai zake dhidi ya Wapalestina kuwafikia walimwengu.