-
Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi
Dec 13, 2022 22:56Mbunge wa chama cha Likud katika Bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, kwa kuzingatia mazungumzo yaliyofanyika, inatarajiwa kuwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya utawala huo na Saudi Arabia yatasainiwa mwaka ujao wa 2023.
-
Watoto wa Kiyemen ndio wahanga wakuu wa uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati
Dec 13, 2022 22:55Takwimu zilizotolewa kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Yemen zinaonyesha kuwa, watoto wa Kiyemeni ndio wahanga wakuu wa hujuma hiyo ya kijeshi.
-
Palestina: Jina la "Israel" liwekwe kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto
Dec 13, 2022 22:54Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameutaka Umoja wa Mataifa uliweke jina la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto.
-
Watoto wa Kiyemeni wakusanyika mbele ya ofisi ya UN kupinga mauaji dhidi yao
Dec 13, 2022 07:27Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani, watoto wa Kiyemeni wamekuanyika mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa huko Sana'a mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya watoto wa Yemen na kuzingirwa nchi yao.
-
Hamas: Wapalestina hawataiacha Israel itekeleze njama zake
Dec 12, 2022 23:24Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Wapalestina katu hawatouruhusu utawala haramu wa Israel utekeleza njama na mipango yake michafu dhidi ya mji mtakatifu wa Quds na Masjidul Aqsa.
-
Kuvunja rekodi ya kunyonga Saudi Arabia katika uongozi wa Bin Salman
Dec 12, 2022 22:53Mtandao wa Mirat al-Jazeera umetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia umetoa hukumu ya mwisho ya wafungwa watano kwa sababu za kiitikadi.
-
PPC: Wanajeshi wa Israel wamewakamata Wapalestina 6,500 wakiwemo watoto 811
Dec 12, 2022 05:56Shirika huru na lisilo la kiserikali la kutetea haki za binadamu limesema kuwa, wanajeshi wa Israel wamewatia mbaroni Wapalestina 6,500 wakiwemo mamia ya wanawake na watoto katika eneo lote la Ukingo wa Magharibi linaokaliwa kwa mabavu tangu mwanzoni mwa mwaka huu, huku utawala wa Israel ukiendelea na kampeni yake ya kuwanyanyasa na kuwatia mbaroni Wapalestina.
-
Wanajeshi makatili wa Israel wavamia mji wa Jenin, wamuua shahidi binti mdogo
Dec 12, 2022 03:40Duru za Palestina mapema leo Jumatatu zimetangaza habari ya kuuawa shahidi binti mdogo wa Kipalestina kwenye uvamizi wa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika mji wa Jenin wa Ukingo Magharibi wa Mto Jordan.
-
Saudia yazidi kuingilia masuala ya Libya, Bin Salman aonana na Menfi mjini Riyadh
Dec 12, 2022 03:39Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya, Mohamed al-Menfi, amekutana na mwanamfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman katika mji mkuu wa Riyadh kujadili maendeleo ya kisiasa ya Libya na matarajio ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
-
Waziri wa mafuta wa Yemen aonya makampuni ya kigeni dhidi ya uporaji mafuta, gesi
Dec 11, 2022 23:12Waziri wa mafuta na madini katika Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen amezionya kampuni za kigeni dhidi ya kupora utajiri wa mafuta na gesi ya nchi hiyo ya Kiarabu inayokumbwa na vita, na kusisitiza kwamba Sana’a haitaacha juhudi zozote za kutetea mamlaka ya kitaifa na kulinda maslahi na utajiri wa umma.