-
Waziri wa mafuta wa Yemen aonya makampuni ya kigeni dhidi ya uporaji mafuta, gesi
Dec 11, 2022 23:12Waziri wa mafuta na madini katika Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen amezionya kampuni za kigeni dhidi ya kupora utajiri wa mafuta na gesi ya nchi hiyo ya Kiarabu inayokumbwa na vita, na kusisitiza kwamba Sana’a haitaacha juhudi zozote za kutetea mamlaka ya kitaifa na kulinda maslahi na utajiri wa umma.
-
Uingereza, mshirika wa Saudia katika jinai dhidi ya watu wa Yemen
Dec 11, 2022 09:19Takwimu zinaonyesha kuwa, serikali ya Uingereza ni muuzaji wa pili mkubwa zaidi wa silaha kwa Saudi Arabia na mshirika katika uhalifu jinai zinazofanywa na muungano wa vita wa Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco
Dec 11, 2022 07:40Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewashambulia wananchi wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kusherehekea ushindi wa Morocco katika mchuano wa robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Qatar.
-
Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel
Dec 11, 2022 05:29Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeanza kuchukua hatua kwa lengo la kutokomeza silaha za atomiki za utawala haramu wa Israel baada ya nchi 149 wanachama wa umoja huo kuunga mkono azimio linaloutaka utawala huo wa Kizayuni "uache kufuatilia uzalishaji, uundaji, majaribio au kutaka kuwa na silaha za nyuklia" na "kuachana na mpango wa kumiliki silaha za nyuklia".
-
Unicef: Ugonjwa wa surua wauwa watoto 15 Yemen
Dec 11, 2022 04:26Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limetangaza kuwa katika kipindi cha miezi saba iliyopita watoto 15 wa kiyemen wameaga dunia kwa surua(Measles).
-
Hizbullah yahimiza kuchaguliwa rais mpya wa Lebanon haraka iwezekanavyo
Dec 10, 2022 22:58Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Shekhe Naeem Qassim ametilia mkazo ulazima wa kuchaguliwa rais mpya wa nchi hiyo haraka iwezekanavyo.
-
Safari ya Rais wa China nchini Saudi Arabia
Dec 10, 2022 22:58Rais Xi Jin Ping wa China ambaye amefanya ziara nchini Saudi Arabia mbali na kusaini mapatano ya pamoja ya ushirikiano wa kimkakati, amesaini pia hati 34 za mapatano kwa lengo la kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na uwekezaji kati ya nchi mbili.
-
Serikali ya Jordan yaionya Israel kuhusiana na hujuma jinai zake dhidi ya Wapalestina
Dec 10, 2022 09:24Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jordan imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kuendelea hujuma na mashambulio dhidi ya miji mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Muungano wa Februari 14: Utawala wa Aal Khalifa Bahrain umetengwa
Dec 10, 2022 09:23Muungano wa Februari 14 ambayo ni harakati ya upinzani nchini Bahrain umetangaza kuwa, utawala wa Aal Khalifa umepoteza muungano na waitifajki wake na hiivi sasa uumetangwa kikamilifu.
-
Sababu ya kupelekwa vikosi vya ulinzi wa mpakani vya serikali kuu ya Iraqi katika mipaka ya Iran na Uturuki
Dec 10, 2022 08:15Baada ya Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq kufanya kikao chake tarehe 24 Novemba na kuchukua uamuzi wa kutuma askari walinzi wa mipaka katika maeneo ya mipaka ya Iran na Uturuki' afisa mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Iraq ametoa maelezo mapya kuhusu kutumwa wanajeshi hao katika maeneo hayo tajwa.