-
Muungano wa Februari 14: Utawala wa Aal Khalifa Bahrain umetengwa
Dec 10, 2022 09:23Muungano wa Februari 14 ambayo ni harakati ya upinzani nchini Bahrain umetangaza kuwa, utawala wa Aal Khalifa umepoteza muungano na waitifajki wake na hiivi sasa uumetangwa kikamilifu.
-
Sababu ya kupelekwa vikosi vya ulinzi wa mpakani vya serikali kuu ya Iraqi katika mipaka ya Iran na Uturuki
Dec 10, 2022 08:15Baada ya Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq kufanya kikao chake tarehe 24 Novemba na kuchukua uamuzi wa kutuma askari walinzi wa mipaka katika maeneo ya mipaka ya Iran na Uturuki' afisa mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Iraq ametoa maelezo mapya kuhusu kutumwa wanajeshi hao katika maeneo hayo tajwa.
-
Mahmoud Abbas: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa taifa la Palestina
Dec 10, 2022 04:39Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa isishirikiane na serikali haramu za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa watu wa Palestina.
-
OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin
Dec 09, 2022 23:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin, mauaji ya Wapalestina wanne na pia hujuma dhidi ya Msikiti wa Ibrahim na shule za Palestina.
-
Xi Jinping: China itaendelea kuunga mkono juhudi za Wapalestina
Dec 09, 2022 22:52Rais Xi Jinping wa China amesema serikali ya Beijing inaunga mkono jitihada za taifa la Palestina zinazolenga kuhuisha haki za msingi za Wapalestina.
-
HAMAS: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na magaidi Wazayuni
Dec 09, 2022 06:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, muqawama ndiyo njia na chaguo poekee la taifa la Palestina katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ansarullah: Taifa la Yemen halina chaguo jingine isipokuwa mapambano
Dec 09, 2022 06:58Hizam al Asad, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo hawana njia nyingine isipokuwa kuendeleza mapambano ya ukombozi wa ardhi za nchi yao kutoka kwenye makucha ya wavamizi wanaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT
Dec 08, 2022 23:10Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeunga mkono kwa wingi mkubwa mno wa kura azimio la kuutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel uachane na silaha zake za nyuklia na kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT).
-
Kwa mara ya tisa, bunge la Lebanon lashindwa kumchagua rais mpya
Dec 08, 2022 23:10Jaribio la tisa la Bunge la Lebanon kumchagua rais mpya wa nchi hiyo limegonga mwamba.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin
Dec 08, 2022 07:21Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.