-
Yemen: Tunao uwezo wa kujibu shambulio lolote kwa makombora na droni
Dec 05, 2022 07:39Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinao uwezo wa kujibu mapigo dhidi ya shambulio lolote lile.
-
Harakati za Hamas, Jihad Islami zalaani vikali ziara ya rais wa Israel nchini Bahrain
Dec 05, 2022 04:40Harakati mbili za mapambano ya Kiislamu (muqawama) Palestina za Hamas na Jihad Islami zenye makao yake katika Ukanda wa Gaza zimelaani vikali ziara inayoendelea nchini Bahrain ya rais wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Kombe la Dunia; mwanajeshi Mzayuni akimbia haraka Qatar baada ya kugunduliwa uhakika wake
Dec 04, 2022 08:11Mwanajeshi mmoja Mzayuni aliyejipenyeza nchini Qatar kwa sura bandia ya msanii wa vichekesho, amekimbia haraka nchini humo baada ya Mpalestina mmoja kumgundua na kufichua uhakika wake kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.
-
Ismail Ridhwan: Jinai ya kumuua shahidi Ammar Mefleh haitasalia bila jibu
Dec 04, 2022 08:00Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, jinai ya kumuua shahidi Ammar Mefleh ni jinai ya kivita na dhidi ya binadamu na haitasalia bila jibu.
-
Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 04, 2022 04:22Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 03, 2022 23:08Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wanaoshuhudia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar wamethibitisha kugonga mwamba mpango mchafu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.
-
Kimya cha jamii ya kimataifa na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Dec 03, 2022 06:40Mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya raia wa Palestina yanaendelea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika kivuli cha kimya na upuuzaji wa jamii ya kimataifa.
-
Wimbi jipya la mauaji ya wasomi na wanaharakati laripotiwa Saudia
Dec 03, 2022 04:52Wimbi jipya la kunyongwa na kuuliwa wasomi na wanaharakati wa masuala ya kijamii limeripotiwa nchini Saudi Arabia baada ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kumtia nguvuni mwanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Madina.
-
Sheikh Ali Da'mush: Mshindi halisi wa Kombe la Dunia Qatar ni Palestina
Dec 02, 2022 22:51Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshindi halisi wa fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar ni taifa la Palestina kutokana na wimbi kubwa la wachezaji na mashabiki wa soka kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Hamas: Wavamizi watateketea katika moto wa hujuma dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa
Dec 02, 2022 07:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni kuhusu kuendelea kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa na kuwatolea mwito Wapalestina kuhudhuria kwa nguvu zote na kwa mshikamano katika msikiti huo.