-
Kilichofanyika Bahrain ni uchaguzi au uteuzi tu wa watu?
Nov 13, 2022 05:40Jana Jumamosi, ulifanyika uchaguzi nchini Bahrain wa kuchagua wabunge 40 wa Baraza la Wawakilishi na wajume 30 wa Mabaraza ya Miji.
-
Wanamfalme wa Saudia na biashara ya madawa ya kulevya Mashariki ya Kati
Nov 13, 2022 04:43Duru moja nchini Saudi Arabia imeripoti kuhusu kuongezeka matumizi ya madawa ya kulevya na kuhusika wanamfalme wa nchi hiyo katika kuingiza nchini mihadarati.
-
Hamas yasisitiza kutekeleza Tangazo la Algeria na kuhitimisha hitilafu za ndani
Nov 13, 2022 04:20Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa harakati hiyo ipo tayari kutekeleza Tangazo la Algeria kuhusu mapatano ya kitaifa na kuhitimisha hitilafu za ndani.
-
Qatar yasisitiza tena kupinga kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 12, 2022 08:42Serikali ya Qatar kwa mara nyingine tena imesisitiza msimamo wake wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida wa aina yoyote ile na utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji kila leo huko Palestina.
-
Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa Umoja wa Mataifa wenye maslahi na Wapalestina
Nov 12, 2022 07:58Kamati ya Kupambana na Ukoloni ya Umoja wa Mataifa imepasisha muswada wa Kipalestina ambao ndani yake unataka rai na maoni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na hatua ya utawala wa Kizayuni wa israel ya kuendelea kuikalia kwa mabavu Palestina.
-
"Shoka la Ibrahim" lafichua nyaraka za siri za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia
Nov 12, 2022 04:41Kikundi cha mtandao kimechapisha maelfu ya hati na nyaraka za siri za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia.
-
Kuwait: Israel inapaswa kuweka vituo vyake vya nyuklia chini ya usimamizi wa IAEA
Nov 12, 2022 04:04Kwa mara nyingine tena Kuwait imeutaka utawala haramu wa Israel ujiunge na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) na kuweka vituo vyake vyote vya nyuklia chini ya mfumo wa usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Nasrullah: Iran imezishinda tena njama za Marekani na Israel
Nov 11, 2022 23:49Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia machafuko ya hivi karibini nchini Iran na kufeli kwa njama za maadui na kusisitiza kuwa, Kwa mara nyingine tena Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzima njama na fitina za Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Upinzani Bahrain waafikiana kususia uchaguzi wa leo wa Bunge
Nov 11, 2022 23:00Vyama na makundi ya upinzani nchini Bahrain yameafikiana kwa kauli moja juu ya kuususia uchaguzi wa Bunge unaotazamiwa kufanyika hii leo nchini humo.
-
Mapambo ya uchaguzi wa Bahrain; demokrasia bandia ya ukoo wa Aal-Khalifa
Nov 11, 2022 22:59Katika hali ambayo uchaguzi wa bunge la Bahrain umaanza masaa machache yaliyopita, viongozi wa kisiasa na kidini wa nchi hiyo wametoa wito wa kususiwa uchaguzi huo.