-
Abbas: Haina maana kuwa na nchi ya Palestina bila ya Quds, Gaza na Ukingo wa Magharibi
Nov 11, 2022 07:17Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa, haitakuwa na maana yoyote kuwa na nchi ya Palestina bila ya Baitul Muqaddas (Jerusalem), Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah kuiadhibu Israeli iwapo itafanya upumbavu kuhusu mapatano ya baharini
Nov 11, 2022 04:43Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem ameonya kuwa harakati hiyo ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) itauadhibu utawala haramu wa Israel na kuurudisha kwenye fahamu zake endapo utafanya upumbavu wowote katika suala la makubaliano ya kuweka mipaka ya baharini na Lebanon.
-
Wapalestina wakosoa njama za Kuyahudisha mtaala wa shule katika jiji la Quds
Nov 11, 2022 03:03Wapalestina wanaendelea kulaani vikali njama za utawala haramu wa Israel za Kuyahudisha na kupotosha ukweli katika vitabu vya shule katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India
Nov 10, 2022 23:39Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Utawala wa Kizayuni wakataa kukabidhi maiti za Wapalestina 10 waliouawa shahidi
Nov 10, 2022 23:37Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa utawala huo ghasibu unaendelea kuzuia viwiliwili vya Wapalestina kumi waliouawa shahidi.
-
Kwa mara ya tano Bunge la Lebanon lashindwa kumpata rais mpya wa nchi hiyo
Nov 10, 2022 09:20Bunge la Lebanon limekutana tena leo Alkhamisi, lakini kwa mara ya tano limeshindwa kumpata rais mpya wa nchi hiyo.
-
Nguvu za Muqawama; sababu kuu ya kutiwa saini makubalino ya mipaka ya baharini
Nov 10, 2022 05:20Hivi karibuni, Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel zilitiliana saini makubaliano ya mpaka wa baharini kwa upatanishi wa Marekani. Hivi sasa lakini Benjamin Netanyahu anadai kuwa hatoheshimu makubaliao hayo.
-
Ayatullah Issa Qassim: Lengo la Uchaguzi wa Bahrain ni kuua demokrasia
Nov 10, 2022 04:14Sheikh Issa Qassim, kiongozi wa kidini wa mapinduzi ya Bahrain amesema kuwa, kususia uchaguzi ujao nchini humo ni hatua inayolenga kulinda demokrasia.
-
Umaskini waathiri zaidi ya robo ya jamii katika nchi za Kiarabu
Nov 09, 2022 21:52Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema kuwa umaskini umeathiri zaidi ya robo ya jamii katika nchi za Kiarabu.
-
Uchaguzi wa Bahrain; Wabahrain wanataka haki ya kuainisha mustakbali wao
Nov 09, 2022 21:51Katibu Mkuu wa Harakati Ukombozi wa Bahrain amesema kuwa wananchi wa Bahrain wanataka haki zao za kisheria ikiwemo haki ya kuainisha mustakbali wao kupitia harakati yao ya amani.