-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan asisitiza kupatiwa ufumbuzi kadhia ya Palestina
Oct 24, 2022 04:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan amesisitiza kuwa, kupatiwa ufumbuzi kadhia ya palestina ni ufunguo wa kutatuliwa matizo ya eneo la Asia Magharibi.
-
Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami: Mamlaka ya Ndani ni wenzo wa kudhamini usalama wa Israel
Oct 23, 2022 08:33Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema Serikali ya Mamlaka ya Ndani imegeuzwa kuwa wenzo wa kudhamini usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kushambuliwa bandari ya al Dabah, onyo la Wayemen kwa wezi na waporaji wa mafuta
Oct 23, 2022 04:37Ijumaa ya tarehe 21 Oktoba 2022, jeshi la Yemen lilitumia droni zake kushambulia bandari ya al Dabah huko Hadhramaut likiwa ni pigo jipya kwa wavamizi na onyo kwa madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia ambayo yanaendelea kupora utajiri wa nchi hiyo maskini zaidi ya Kiarabu.
-
Yemen yafanya shambulio kuizuia Saudi Arabia isiibe mafuta
Oct 23, 2022 01:05Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza shambulio la onyo dhidi ya meli ya mafuta ya Saudi Arabia iliyojaribu kuiba mafuta ghafi yanayohitajika pakubwa kutoka kwenye kituo cha mafuta kusini mwa Yemen.
-
Sheikh Isa Qassem: Viongozi wa dini mbalimbali msiamini madai ya utawala wa Bahrain
Oct 22, 2022 09:02Kiongozi wa kidini wa Mapinduzi ya Bahrain amewataka washiriki wa kongamano la viongozi wa dini duniani wasiamini kaulimbiu na madai ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kuhusu watu kuishi kwa amani na masikilizano.
-
Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake
Oct 22, 2022 08:55Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, safari zisizopungua 10 za ndege za utawala huo haramu kuelekea India zimefutwa baada ya Oman kukataa kuzipatia ndege hizo kibali cha kupita katika anga yake.
-
Saudia yamfunga jela daktari Mtunisia kwa kuweka video tu ya Watunisia kuhusu Hizbullah
Oct 22, 2022 03:53Saudi Arabia imemfunga jela miaka 15 daktari mmoja wa kike raia wa Tunisia kwa kuweka video ya maandamano ya kuiunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon huko Tunisia.
-
2022, mwaka wa mauaji zaidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Oct 20, 2022 22:55Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita.
-
Sheikh Issa Qassim: Uchaguzi wa Bahrain ni wa kidhulma na siyo wa kiadilifu
Oct 20, 2022 09:14Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Bahrain amesema kuwa, uchaguzi wa Bahrain ni wa kidhulma na siyo wa kiadilifu.
-
MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran
Oct 20, 2022 04:41Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran.