-
Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa
Jul 06, 2022 21:52Kwa kuunga mkono taarifa iliyotolewa na Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini, dhidi ya utawala wa Aal Khalifa, wanazuoni wa Bahrain wamesisitiza udharura wa kuwepo umoja miongoni mwa wapinzani wa utawala wa kidikteta wa nchi hiyo.
-
Jihad Islami: Ripoti ya Marekani kuhusu mauaji ya Abu Akleh inaficha uhalifu wa Israel
Jul 06, 2022 04:20Harakati ya Jihad ya Islami ya Palestina imetangaza kuwa, ripoti ya Marekani kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari wa al Jazeera, Shireen Abu Akleh ni ya kisiasa na imechapishwa kwa shabaha ya kuuondoa hatiani na kuficha jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Utamaduni wa Yemen: Mamluki wa Saudia wanaiba athari za kale za Yemen
Jul 06, 2022 04:19Waziri wa Utamaduni wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ametangaza kwamba mamluki wa Saudi Arabia na washirika wake wanajaribu kupora athari za kale za nchi hiyo.
-
Russia: Mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Syria hayakubaliki hata kidogo
Jul 05, 2022 21:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa hivi karibuni na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Silaha ya Muqawama, dhamana pekee ya kupata maslahi ya Lebanon katika medani ya gesi ya Karish
Jul 05, 2022 03:05Jumamosi iliyopita harakati ya Hizbullah ya Lebanon ilirusha ndege tatu zisizo na rubani katika anga eneo lenye utajiri wa gesi la Karish.
-
Matamshi ya Fuad Hussein kuhusu upatanishi wa Iraq kati ya Iran, Misri na Jordan
Jul 04, 2022 20:26Matamshi ya hivi karibuni ya Fuad Hussein, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iraq katika mahojiano na televisheni ya Saudi Arabia ya al-Arabiya kuhusu upatanishi wa nchi hiyo kati ya Iran, Misri na Jordan ni ya kuzingatiwa.
-
Balozi wa Syria Moscow: Magharibi na Uturuki zinawatuma wapiganaji wa ISIS nchini Ukraine
Jul 04, 2022 09:38Balozi wa Syria nchini Russia amesema kuwa Damascus ina habari kwamba nchi za Magharibi na Uturuki zinatuma wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Ukraine.
-
Saudia inakaribia kuwanyonga vijana watano raia wa nchi hiyo
Jul 03, 2022 23:02Utawala wa Aal Saud unaendelea kutekeleza vitendo vyake viovu na vilivyo kinyume cha sheria kwa kuwafunga jela raia kinyume cha sheria kutokana na umri wao mdogo, kwa tuhuma zisizo na msingi.
-
Vikosi vya muungano vamizi wa Saudia na vitendo vya uharamia huko Yemen
Jul 03, 2022 22:57Msemaji wa Shirika la Mafuta la Yemen amesema kuwa, muungano vamizi nchini humo unaoongozwa na Saudi Arabia mara hii umejikita katika vitendo vya uharamia na hivyo kukiuka mapatano ya usitishaji vita huko Yemen.
-
Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita
Jul 03, 2022 06:45Tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022, hadi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 77 wakiwemo watoto 15.