-
Uchunguzi wa maoni: Wapalestina wengi wanaunga mkono mapambano ya silaha dhidi ya Israel
Jun 29, 2022 21:50Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliyofanyika huko Palestina yanaonyesha ongezeko la uungaji mkono wa Wapalestina kwa mapambano ya silaha dhidi ya utawala haramu wa Israel na kuondolewa madarakani Mahmoud Abbas kama mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Changamoto kuu zinazomkabili Najib Miqati katika kuunda serikali mpya ya Lebanon
Jun 29, 2022 21:46Tangu siku ya Alkhamisi ya tarehe 23 Juni, Rais Michel Aoun wa Lebanon alimkabidhi Najib Miqati, mfanyabiashara mkubwa anayetokea mji wa Tripoli na mwenye umri wa miaka 66, jukumu la kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Kijana wa Kipalestina auawa katika hujuma ya Israel huko Jenin
Jun 29, 2022 06:26Wanajeshi wa utawala katili wa Israel wamempiga risasi na kumuua kijana wa Kipalestina walipokuwa wakivamia sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo katika wiki za hivi karibuni.
-
Zaidi ya Wayemeni milioni 19 wanakabiliwa na njaa huku misaada ikipunuga
Jun 29, 2022 06:19Wakati Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) likitangaza upunguzaji mkubwa wa msaada wa chakula nchini Yemen, ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema zaidi ya Wayemeni milioni 19 sasa wanakabiliwa na njaa, na hivyo kuweka rekodi mpya tangu kuanza kwa vita vikali vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen ambavyo vilianza mwaka 2015.
-
Najib Miqati: Serikali ijayo ya Lebanon itatatua suala la mipaka na umeme
Jun 29, 2022 03:14Waziri Mkuu wa Lebanon aliyechaguliwa kwa mara ya nne katika wadhifa huo na kupewa jukumu la kuunda baraza la mawaziri amesema kuwa, serikali mpya ya nchi hiyo italipatia ufumbuzi suala la kuianisha mipaka ya baharini kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni na kadhia ya umeme.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan: Amman inataka kuwa na uhusiano mwema na Tehran
Jun 29, 2022 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan amesisitiza kuimarisha uhusiano kati ya nchi yake na Iran.
-
Hamas: Jamii ya kimataifa ikomeshe uchokozi wa Wazayuni
Jun 28, 2022 05:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeitaka jamii ya kimataifa itekeleze wajibu wake wa kusimamisha hujuma ya Wazayuni katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem).
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauna mamlaka yoyote huko Quds
Jun 27, 2022 22:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna mamlaka yoyote katika mji wa Quds na kwamba Hamas itaendelea kuupigania mji huo hadi utakapokombolewa.
-
Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jun 27, 2022 06:51Ripoti mpya ya shirika moja la kutetea haki za watoto imesema askari makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi watoto 15 wa Palestina.
-
Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudia umepora mapipa laki nne ya mafuta ya Yemen
Jun 27, 2022 03:16Meli moja ya mafuta ya kigeni inayomilikiwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia imeondoka katika mkoa wa Shabwah, kusini mashariki ya Yemen baada ya kupora mapipa laki nne ya mafuta ghafi ya nchi hiyo.