-
Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudia umepora mapipa laki nne ya mafuta ya Yemen
Jun 27, 2022 03:16Meli moja ya mafuta ya kigeni inayomilikiwa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia imeondoka katika mkoa wa Shabwah, kusini mashariki ya Yemen baada ya kupora mapipa laki nne ya mafuta ghafi ya nchi hiyo.
-
Hania: Makombora 150 yatausambaratisha utawala wa Kizayuni chini ya dakika tano
Jun 26, 2022 23:22Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, msikiti wa al Aqsa unakaribia kukombolewa na kusisitiza kuwa, makombora 150 yatauangamiza utawala wa Kizayuni katika muda wa chini ya dakika tano.
-
Kuimarishwa ushirikiano wa kiusalama na kiintelijensia kati ya Uturuki na utawala bandia wa Israel
Jun 26, 2022 20:52Katika hali ambayo utawala wa Kizayuni wa Israel umesisitiza kuwa hauko tayari kuipatia fursa za upendeleo Uturuki hususan katika usafirishaji gesi kwa ajili ya nchi za Umoja wa Ulaya ili kustawishwa uhusiano baina yao, serikali ya Recep Tayyip Erdoğan ingali inaendelea kupaparika upande wake kutaka kupanua na kustawisha uhusiano na utawala huo wa ubaguzi wa rangi.
-
Ripoti: Wanaharakati wa kisiasa Saudia wanabakwa na kuuawa magerezani
Jun 26, 2022 06:46Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Grant Liberty kwa mara nyingine tena imeweka wazi rekodi mbaya na nyeusi ya utawala wa Saudi Arabia katika suala la haki za binadamu, hususan baada ya Muhammad Bin Salman, Mrithi wa Ufalme Saudia kuchukua udhibiti wa mamlaka.
-
Ziara ya kwanza ya Mfalme wa Qatar nchini Misri baada ya kupita miaka tisa ya uhasama
Jun 26, 2022 04:25Baada ya kupita miaka tisa ya mivutano, Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amewasili katika mji mkuu wa Misri Cairo na kulakiwa na rais wa nchi hiyo Abdel Fatah el Sisi.
-
Sanaa yalalamikia vikwazo vya Riyadh dhidi ya mahujaji wa Yemen
Jun 26, 2022 03:14Afisa wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amepinga masharti na vikwazo ambavyo Saudi Arabia imewawekea mahujaji wa Yemen.
-
Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria
Jun 25, 2022 22:02Baadhi ya vyanzo vya habari vimeripoti kuwa Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha jitihada za pamoja za kuunda upya kikosi kinachojulikana kwa jina la Jaish Maghawir al-Thawra (Jeshi la Makomando wa Mapinduzi) katika kituo cha Al-Tanf kinachosimamiwa na Marekani kilichoko kwenye mpaka wa Jordan, Syrian na Iraq.
-
Haniya: Mapambano yataendelea mpaka Palestina iliyoanzia kwenye Mto hadi Baharini itakapokombolewa
Jun 25, 2022 21:52Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mapambano na muqawama ungali unaongeza nguvu zake hadi ufike wakati wa kukombolewa Palestina iliyoanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Mediterania.
-
Mfalme wa Jordan ataka kuundwa 'NATO ya Asia Magharibi'
Jun 25, 2022 21:51Mfalme wa Jordan amesema anaunga mkono wazo la kuundwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Asia Magharibi, utakaoshabihiana na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO).
-
Kijana Mpalestina auawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari katili wa Israel
Jun 25, 2022 03:45Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamemuua kijana wa Kipalestina wakati wakimkamata katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.