-
Safari ya Uturuki; Urafiki wa kimbinu kati ya Erdogan na Bin Salman
Jun 24, 2022 22:34Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman amefanya safari mjini Ankara na kukaribishwa rasmi na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.
-
Ismail Haniyeh: Jinai za utawala wa Kizayuni, hazitofautishi baina ya Waislamu na Wakristo
Jun 24, 2022 22:33Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hautofautishi kati ya Waislamu na Wakristo katika jinai zake dhidi ya Palestina.
-
HAMAS: Israel iache kuchimba mashimo kwenye ua wa Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 24, 2022 08:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka utawala haramu wa Israel uache mara moja kitendo chake cha kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea katika msikiti mtatatifu wa al-Aqsa.
-
Uturuki kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya usalama
Jun 24, 2022 03:17Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema, baada ya kuongeza kiwango cha uwakilishi wa kidiplomasia, nchi yake itaanzisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nchi za Kiarabu mbioni kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake Arab League
Jun 24, 2022 02:41Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema nchi kadhaa wanachama wa jumuiya hiyo zinafanya juhudi kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake.
-
Kiongozi wa HAMAS aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah Beirut
Jun 23, 2022 07:58Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kukiuka usitishaji vita mkoani al Hudaidah Yemen
Jun 23, 2022 03:41Muungano vamizi Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia umekiuka usitishaji vita mara 40 katika mkoa wa al Hudaidah.
-
Ripoti: Bin Salman kuwaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina
Jun 22, 2022 23:24Tovuti moja imefichua kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Wazayuni kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
-
Knesset yapiga kura ya kulivunja bunge hilo la utawala wa Kizayuni
Jun 22, 2022 23:13Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limepiga kura ya kujivunja, na hivyo kuandaa mazingira ya uwezekano wa kurejea madarakani kwa kinara wa chama cha Likud, Benjamin Netanyahu, huku baraza la mawaziri la muungano wa Waziri Mkuu, Naftali Bennett, likiporomoka.
-
Sanaa yaikejeli taarifa ya Bin Salman na Al Sisi, yasema haina maana
Jun 22, 2022 06:37Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imeikejeli taarifa iliyotolewa na viongozi wa Saudi Arabia na Misri kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni mpango wa Ghuba ya Uajemi kuhusu Yemen.