-
Malengo tofauti ya safari ya kieneo ya Bin Salman
Jun 22, 2022 05:15Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameanza safari yake ya kieneo kwa kufanya ziara huko Misri na kuzitembelea pia nchi mbili za Jordan na Uturuki.
-
Idadi ya askari wa Israel wanaojiua imeongezeka ghafla
Jun 22, 2022 03:26Duru za Kiebrania zimeripoti ongezeko la idadi ya askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel waliojiua katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2022.
-
Yamkini Saudia ikaongeza idadi ya Wairani wanaoenda Hija mwaka huu
Jun 21, 2022 22:06Waziri wa Hija na Umrah wa Ufalme wa Saudi Arabia amesema wizara hiyo inatafakari kuongeza idadi ya raia wa Iran watakaoenda Hija mwaka huu.
-
Hizbullah: Kuweko tayari muda wote Muqawama kumeizuia Israel kuivamia Lebanon
Jun 21, 2022 09:20Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuweko tayari muda wote muqawama ndiko kulikoufanya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ughairi kuanzisha uvamizi dhidi ya Lebanon.
-
Nguvu za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, imejiandaa vilivyo kupambana na Wazayuni
Jun 20, 2022 22:12Nguvu za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon zimeongezeka kila upande, angani, ardhini na majini na imejiandaa kikamilifu kupambana na Wazayuni.
-
Makamanda wa Israel: Stratijia ya Israel ya kukabiliana na Hizbullah, Hamas imefeli
Jun 20, 2022 03:07Makamanda wawili wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanasema harakati za Hizbullah ya Lebanon na Hamas ya Palestina zinazidi kuimarika na kupata nguvu kiasi kwamba startijia za Israel za kukabiliana na harakati hizo mbili za Kiislamu zinafeli.
-
Nchi 8 za Afrika miongoni mwa 39 duniani zilizoripoti Monkeypox
Jun 19, 2022 23:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema nchi 8 za Afrika ni miongoni mwa nchi 39 duniani zilizoripoti kesi zilizothibitishwa za ugonjwa wa Monkeypox.
-
Mamluki wa Imarati wanabaka wasichana wa Yemen Hudaydah
Jun 19, 2022 23:50Kitendo cha mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu kuwabaka wasichana sita katika mkoa wa al-Hudaydah, magharibi mwa Yemen kimeibua ghadhabu na kulalamikiwa vikali katika pembe mbalimbali za nchi hiyo maskini ya Kiarabu.
-
Ismail Haniyeh: Damu ya mashahidi wa Jenin haitapotea bure
Jun 19, 2022 06:35Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kwamba damu za mashahidi waliouawa na utawala haramu wa Israel katika eneo la Jenin hazitapotea bure. Ismail Haniyeh ameyasema hayo akizungumzia jinai ya Wazayuni ya kuwaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina huko Jenin
-
Israel haiwezi kukana kuwa ndiye nduli wa Sabra na Shatila
Jun 19, 2022 02:24Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha ripoti maalumu inayothibitisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ndiye nduli wa mauaji ya umati ya Wapalestina katika kambi za wakimbizi za Sabra na Shatila za nchini Lebanon.