-
"Mifumo ya anga ya US haiwezi kutungua makombora, droni za Yemen"
Jun 18, 2022 07:54Waziri wa Ulinzi wa Yemen amesema mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani haina uwezo wa kuzuia au kutungua makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani za vikosi vya jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iraq yatakiwa kuchunguza wizi wa mafuta yanayopelekwa Israel
Jun 18, 2022 06:58Serikali ya Iraq imetakiwa ifanye uchunguzi wa kina kuhusu wizi wa mafuta ya nchi hiyo katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa nchi na kupelekwa katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Jitihada za mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia za kujiondoa katika hali ya kutengwa kisiasa kimataifa
Jun 18, 2022 05:27Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia anafanya jitihada kupitia safari na mazungumzo ya kidplomasia ili kujikwamua katika hali ya kutengwa kisiasa kwa muda mrefu.
-
Iraq: Baada ya uchunguzi kukamilika tutatoa jibu kwa mashambulio ya Uturuki
Jun 17, 2022 22:30Wizara ya mambo ya nje ya Iraq imelaani shambulio la kijeshi la Uturuki katika eneo la Sinjar na kusisitiza kuwa baada ya kukamilisha uchunguzi, itachukua hatua zinazolazimu dhidi ya Ankara.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi la Israel mjini Jenin
Jun 17, 2022 06:56Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mfalme wa Saudia aibembeleza Qatar iimarishe uhusiano na Riyadh
Jun 17, 2022 06:55Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz amemuandikia barua Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani akiiomba Doha ichukue hatua za kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Riyadh.
-
Faisal al-Miqdad: Erdoğan anataka kusambaza magaidi kaskazini ya Syria
Jun 16, 2022 23:13Waziri wa mambo ya nje wa Syria amesema, lengo la rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki la kuanzisha ukanda wa usalama kaskazini ya Syria ni kuweka magaidi katika eneo hilo.
-
Human Right Watch: Mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza ni jinai dhidi ya binadamu
Jun 15, 2022 23:21Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza huko Palestina unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa israel ni jinai dhidi ya binadamu.
-
Yemen: Tutashambulia vituo vya mafuta vya Saudia ikiendelea kuiba mafuta yetu
Jun 15, 2022 07:18Ofisa wa ngazi ya juu wa Yemen ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la Yemen vitashambulia vituo vya mafuta ndani kabisa ya Saudi Arabia, iwapo muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Riyadh utaendelea kupora mafuta wa Wayemen.
-
Kauli zisizo za kirafiki za Fuad Hussein; ulazima wa kutoa ufafanuzi uko kwa Iran au Iraq?
Jun 15, 2022 03:39Waziri wa mambo ya nje wa Iraq, kwa mara ya kwanza ametoa matamshi ya kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba inaingilia masuala ya ndani ya nchi yake na kudai kuwa uhusiano wa Iran na Iraq umetoka kwenye hatua ya "ukimya" na kufikia hatua ya kuhitajika "ufafanuzi".