-
Viongozi wanane wa magaidi wa ISIS waangamizwa kaskazini mwa Iraq
Jun 15, 2022 02:59Vikosi vya kulinda usalama vya Iraq vimeshambulia maficho ya magaidi wa Daesh (ISIS) katika mkoa wa Salahuddin wa kaskaizni mwa nchi hiyo na kuangamiza viongozi wasiopungua wanane wa genge hilo la ukufurishaji.
-
Nujaba: Hashdu Shaabi itaendelea kupambana na ugaidi wa US, Israel nchini Iraq
Jun 14, 2022 22:00Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya al-Nujaba nchini Iraq amesema Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la al-Hashdu-Sha'abi limefanikiwa kuzima njama nyingi za maadui dhidi ya taifa hilo la Kiarabu, na litaendelea kupambana na ugaidi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Jenerali wa Kizayuni akiri: Israel haitashinda katika vita vijavyo
Jun 13, 2022 22:50Jenerali mmoja wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ameashiria udhaifu wa jeshi la utawala huo na kusisitiza kuwa, endapo hali hiyo haitabadilika, Israel haitashinda katika vita vijavyo.
-
Maadhimisho ya mwaka wa 25 tangu kuasisiwa kundi la kiuchumi la nchi za Kiislamu D8
Jun 13, 2022 22:09Sherehe ya kuadhimisha mwaka wa 25 tangu kuasisiwa kundi la nchi nane za Kiislamu zilizostawi kiuchumi D8 imefanyika mjini Istanbul, Uturuki kwa kuhudhuriwa na mabalozi wa nchi wanachama akiwemo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
HAMAS: Shambulio la Israel dhidi ya Syria linatokana na kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Jun 13, 2022 03:30Mkuu wa Ofisi ya Mahusiano ya Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, shambulio la utawala haramu wa Israel dhidi ya Syria sababu yake ni kushindwa mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
-
Hizbullah: Muqawama ni udharura wa kimkakati wa kumkwamisha adui
Jun 12, 2022 22:44Mjumbe mmoja wa Baraza Kuu la Hizbullah ya Lebanon amelaumu baadhi ya mirengo inayoshirikiana na Marekani ndani ya Lebanon na kusisitiza kuwa, muqawama na mapambano ni udharura wa kimkakati wa kumkwamisha adui kwenye kinamasi na kumzuia asifikirie kabisa kushambulia ardhi ya Lebanon.
-
HAMAS na Jihadul-Islami: Muqawama ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina
Jun 12, 2022 06:07Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina zimelaani vikali mwenendo wa baadhi ya watawala wa Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, muqawama ndio njia pekee ya kuzikomboa ardhi za Palestina.
-
Wanamuqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio makombora yao
Jun 12, 2022 03:23Duru za kiusalama huko Palestina zimedokeza kuwa, vikosi vya muqawama vya nchi hiyo vimefanyia majaribio makombora yao katika fukwe za Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana na kutangaza uungaji mkono wao kwa wafungwa wa kisiasa
Jun 11, 2022 22:02Wananchi wa Bahrain wameandamana wakiwaunga mkono wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo na kutoa wito wa kuachiliwa huru wafungwa hao wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa.
-
Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 11, 2022 05:44Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.