-
Al-Houthi: Lengo la adui ni kudhoofisha mshikamano na nguvu za wananchi wa Yemen
May 22, 2022 03:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, lengo la adui ni kudhoofisha viini vyote vya mshikamano na nguvu za wananchi ili arahisishe njia ya kuwadhibiti.
-
Jeshi la Yemen latungua droni nyingine ya kijasusi ya Saudia mkoani Hajjah
May 22, 2022 00:08Msemaji wa majeshi ya Yemen ametangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kutungua droni - yaani ndege isiyo na rubani - ya kijasusi ya Saudi Arabia katika mkoa wa Hajjah.
-
Televisheni ya Kizayuni: Israel kuchukua hatua dhidi ya Iran ni vitisho vya maneno tu
May 21, 2022 08:01Televisheni ya Kizayuni ya Kan 11 imesema, madai yote yanayotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwmba utachukua hatua dhidi ya Iran ni vitisho vya maneno matupu.
-
Mwaka mmoja baada ya Vita vya Seif al-Quds
May 21, 2022 05:58Mwaka mmoja umepita tangu kutokea Vita vya Seif al-Quds. Licha ya kupita mwaka mmoja tangu kumalizika vita hivyo, lakini natija ya vita hivyo haijaishia katika siku 12 tu za vita hivyo.
-
Makumi ya maelfu ya Wapalestina washiriki sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa
May 21, 2022 03:34Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) pamoja na kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ulijaribu kuwazuia waumini kufika katika eneo hilo takatifu.
-
Saudia yaendeleza sera za kuwaua Mashia, vijana wawili wahukumiwa kumyongwa
May 21, 2022 03:17Mahakama ya Juu ya Saudia imeendeleza sera za kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia kwa kuidhinisha hukumu ya kuwanyonga vijana wawili raia wa Bahrain.
-
Sayyid Nasrallah: Kukaliwa kwa mabavu Palestina kulikuwa pigo kwa nchi za Kiarabu
May 20, 2022 23:30Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa munasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi Sayyid Mustafa Badruddin na kusema kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina kulikuwa pigo kwa nchi za Kiarabu na mataifa yote ya eneo.
-
Al-Houthi: Marekani inasaidiana na magaidi kujenga vituo vya kijeshi Yemen
May 20, 2022 23:24Kiongozi wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, ikishirikiana na magaidi wakufurishaji ambao ni waitifaki wake, inajenga vituo kadhaa vya kijeshi katika mikoa ya mashariki mwa nchi hiyo ya Hadhramaut na al-Mahrah na hali kadhalika mji wa Aden na pwani ya Bahari ya Sham.
-
Tathmini ya uchaguzi wa Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
May 20, 2022 04:38Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, juzi usiku alitoa hutuba akibainisha tathmini yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa hivi karibu wa bunge la nchi hiyo.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yaionya Israel kwa hujuma zake dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
May 19, 2022 20:51Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeonya kuhusiana na matokeo mabaya ya vitendo vya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kufanya hujuma na uvamizi dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na kambi ya wakimbizi ya Jenin.