-
Mufti Mkuu wa Libya: Saudi Arabia iko vitani Yemen kwa niaba ya Marekani
Sep 17, 2026 10:52Mufti Mkuu wa Libya, Sheikh Sadiq al-Ghariani, amezungumzia matukio ya hivi karibuni nchini Yemen, akisema kuwa Saudi Arabia iko vitani nchini humo kwa niaba ya Marekani.
-
Je, Mpango wa "Kuifanya Yemen kama Syria" Ulifeli Vipi?
Sep 17, 2026 05:45Vyanzo vya habari mjini Sana'a, mji mkuu wa Yemen, vimeripoti kuhusu njama kubwa ya kuifanya Yemen ikabiliwe na hali ya machafuko kama ile ya Syria, mpango ambao hatimaye umefeli licha ya kushirikishwa makundi ya kitakfiri yanayohusishwa na utawala wa muda wa Al-Julani.
-
Ansarullah: Tuhuma ya kuishambulia Makka ni 'uongo mkubwa' wa Saudia; Wayemen ndio watetezi wa kweli wa maeneo matakatifu
Sep 17, 2026 03:26Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya wananchi wa Yemen, Ansarullah, imesisitiza tena msimamo wa serikali ya Sana'a wa kukanusha vikali madai ya Saudi Arabia kwamba Jeshi la Yemen linatishia kuyashambulia maeneo matakatifu katika mji wa Makka nchini Saudia.
-
Mshauri wa Rais wa Imarati: Marekani haina mwamana; Saudia ni jangwa tupu
Sep 16, 2026 12:04Mshauri wa Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu ametoa matamshi makali dhidi ya Saudi Arabia na Marekani na kusema kuwa, asilimia 90 ya ardhi ya Saudia ni jangwa tupu na kwa upande wa Marekani ni dola lisilo na mwamana na wala huwezi kulitegemea
-
Umoja wa Mataifa wataka wakaguzi wa kimataifa waruhusiwe kufika maeneo yote ya Gaza
Sep 16, 2026 02:55Umoja wa Mataifa umeashiria kugunduliwa mamia ya miili chini ya vifusi katika Ukanda wa Gaza na kutoa wito wakaguzi wa kimataifa waruhusiwe kuingia na kufika katika maeneo yote ya ukanda huo ili kukusanya ushahidi na kuchunguza uwezekano wa kutendeka uhalifu wa kivita.
-
Tovuti ya kizayuni: Ishara za kushindwa Marekani katika vita na Iran ziko wazi kabisa
Sep 15, 2026 10:50Tovuti moja ya habari ya Kizayuni imeandika kuwa, Marekani inajiona ndiye mshindi katika vita wakati Pentagon inakiri kwamba ina uhaba wa silaha, huku bei ya mafuta ikipanda na kufikia $110, na Mlango-Bahari wa Hormuz na ule wa Bab al-Mandab ikiwa imewekewa mzingiro kamili.
-
Watengezaji wa filamu NAZA iliyofichua ukweli wa mauaji ya kimbari ya Ghaza hatarini kuvuliwa uraia wa Israel
Sep 15, 2026 04:12Waziri wa Utamaduni wa utawala wa kizayuni wa Israel, Miki Zohar amesema atajaribu kuhakikisha watengenezaji wa filamu iitwayo NAZA inayofichua "mfumo wa mauaji" uliotumiwa dhidi ya raia wa Palestina huko Ghaza wakati wa mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala huo wa kizayuni wanavuliwa uraia wao kwa kufanya "uhaini".
-
Waandishi wa habari 37 Wapalestina wanashikiliwa kwenye jela za Israel, 19 bila kufunguliwa mashtaka
Sep 15, 2026 04:06Utawala wa kizayuni wa Israel unawashikilia waandishi wa habari 37 wa Kipalestina katika magereza yake, wakiwemo 19 waliowekwa kwenye kizuizi kisicho na kikomo kwa kutumia sheria ya kutofunguliwa mashtaka au kutofikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa katika taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Wafungwa wa Kipalestina, Palestinian Prisoner Society.
-
Yemen yashambulia maegesho ya ndege za kivita, rada na maghala ya silaha ya kituo cha anga cha Saudia
Sep 15, 2026 04:04Vikosi vya Jeshi la Yemen vimefanya shambulio la pamoja la makombora na ndege zisizo na rubani kwenye kambi kubwa ya anga katika eneo la kusini mwa Saudi Arabia la Asir kulipiza kisasi kwa shambulio la hivi karibuni la uchokozi wa kijeshi lililofanywa na Saudia na mzingiro inaoendelea kuiwekea nchi hiyo.
-
Vita vya Marekani vyadhoofisha mno Uchumi wa Imarati
Sep 14, 2026 10:53Takwimu rasmi zilizotolewa na Muungano wa Falme za Kiarabu zinaonesha kuwa, vita vilivyochochewa na Marekani na utawala wa Kizayuni katika ukanda huu vimefuta karibu nusu ya mapato ya sekta ya utalii ya Imarati (UAE).