-
Guterres ataka kuhitimishwa vita vya Gaza sambamba na kutimia miaka miwili ya jinai za Israel
Oct 08, 2025 03:07Katika kuadhimisha mwaka wa pili wa Vita vya Gaza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza wito wake wa usitishaji wa kudumu wa vita Gaza, akielezea maafa ya vita hivyo kama maafa ya kibinadamu yasiyokuubalika.
-
Hamas: Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa lilikuwa jibu la kihistoria kwa njama za kufuta kadhia ya Palestina
Oct 07, 2025 23:12Msemaji wa harakatin ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kuwa, Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa haikuwa vita tu vya kuwashinda wavamizi, bali ni hatua ya mabadiliko ambayo ilifichua sura halisi ya wavamizi hao na kuwatenga.
-
Miaka miwili baada ya pigo la kihistoria la HAMAS dhidi ya Israel
Oct 07, 2025 08:57Leo imetimia miaka miwili tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa na kutoa pigo kubwa na la kihistoria dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Mpango wa Trump; majibu ya Hamas na mvutano mkubwa katika baraza la mawaziri la Israel
Oct 07, 2025 07:57Wakati mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza yameingia mwaka wake wa pili, hivi karibuniRais Donald Trump wa Marekani aliwasilisha mpango wenye vipengele 20 akidai usitishaji vita huko Gaza.
-
Wanajeshi wengine sita wa Israel waangamizwa na kujeruhiwa huko Ghaza
Oct 07, 2025 06:56Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kutokea tukio zito la kiusalama kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu huko kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Msimamo mmoja wa Muqawama wa Palestina umeitenga zaidi Israel
Oct 07, 2025 02:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema msimamo mmoja ulioidhinishwa na mirengo yote ya Muqawama wa Palestina kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani la kusitisha mapigano Gaza, umepelekea kuzidi kutengwa Israel kimataifa.
-
Mbali na mateka, HAMAS wana turufu nyingine hizi
Oct 06, 2025 23:42Wakati vyombo vya habari vya Israel vikijaribu kuonesha suala la mateka kama kitu pekee ya mashinikizo ilicho nacho Hamas, mchambuzi mmoja wa Jordan ameionya kwamba Hamas inaweza kuvuruga mlingano huo wakati wowote kwa kutumia turufu nyingine kadhaa tofauti za kimkakati.
-
Timu ya mazungumzo ya Hamas yawasili Misri
Oct 06, 2025 09:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake ya leo Jumatatu kuwa timu yake ya mazungumzo imeshawasili Misri.
-
WHO: Watu 400 wameaga dunia kwa utapiamlo Ukanda wa Gaza tangu kuanza mwaka huu
Oct 06, 2025 08:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa watu 400 wameaga dunia kw autapiamlo katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa ya makusudi iliyosaabishwa na Israel. Watoto 100 ni miongoni mwa idadi hii tajwa ya waliopoteza maisha kwa njaa; watoto 80 walikuwa na umri wa chini ya miaka mitano.
-
Jeshi la Yemen lashambulia kwa droni bandari ya Eilat katika oparesheni mpya dhidi ya Israel
Oct 06, 2025 08:03Wanajeshi vya Yemen wamefanya shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) kuelekea mji wa bandari wa Eilat katika ncha ya kusini kabisa ya maeneo yanayokaliwa na Israel katika operesheni mpya ya jeshi la Yemen ya kulipiza kisasi katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina wa Ukanda wa Gaza.