-
Kambi ya jeshi la US nchini Iraq yashambuliwa kwa droni
Jan 15, 2022 08:43Uwanja wa ndege za kijeshi wa Marekani wa Balad ulioko kaskazini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad umeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani.
-
UN yaonyesha undumakuwili kwa kushinikiza meli ya UAE iliyokamatwa na silaha Yemen iachiwe
Jan 15, 2022 04:00Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeendeleza mwenendo wa undumakuwili kwa kutaka meli ya Imarati iliyokamatwa ikiwa imebeba silaha na zana za kijeshi zilizokusudiwa kupelekwa nchini Yemen iachiwe.
-
Sababu za idadi kubwa ya vifo vya wanajeshi wa Israel
Jan 15, 2022 03:55Gazeti la Kiebrania la Israel Hume limeripoti kwamba wanajeshi 31 wa Israeli waliuawa katika mwaka uliomaliza majuzi wa 2021 na kwamba 11 kati yao walijiua wenyewe.
-
Jihadul-Islami: Muqawama utaendelea kuunga mkono Intifadha ya wakazi wa Ufukwe wa Magharibi
Jan 15, 2022 04:38Msemaji wa Harakati ya Jihadul-islami ya Palestina amesema, muqawama unaunga mkono intifadha na mwamko wa wakazi wa Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya wazayuni.
-
Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina
Jan 14, 2022 21:22Makumi ya waigizaji nyota wa filamu duniani wamejitokeza na kutangaza kumuunga mkono muigizaji mwenzao wa Uingereza, Emma Watson, ambaye hivi karibuni alishambuliwa vikali na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Hasira Yemen baada ya UAE kuwaingiza 'watalii' wa Israel kisiwani Socotra
Jan 14, 2022 04:34Hasira zimeenea miongoni mwa watu wa Yemen baada ya kuenea picha zinazowaonyesha "watalii" kutoka utawala haramu wa Israeli wakitembelea kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Yemen yakosoa utendaji wa Baraza la Usalama katika kurefusha vita vya nchi hiyo
Jan 13, 2022 23:42Muhammad Ali al-Huthi, mwanachama wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amekosoa utendaji wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya kivamizi dhidi ya nchi hiyo na kusema licha ya kwamba Saudi Arabia imetekeleza na inaendelea kutekeleza jinai za kivita nchini humo, lakini baraza hilo limeshindwa kusimamisha vita hivyo.
-
Saudia yashambulia kwa mabomu hospitali Yemen, kadhaa wauawa
Jan 13, 2022 23:40Ndege za kivita za muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika majengo ya makazi ya watu na hospitali katika mikoa ya Yemen ya Sana'a na Hudaydah, na kuua raia kadhaa.
-
Balozi wa Saudia mjini Beirut aropokwa tena akiituhumu Hizbullah ya Lebanon
Jan 13, 2022 08:11Balozi wa Saudi Arabia mjini Beiurut ameendelreaza bwajaja zake dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon baada ya kudai kwamba, Hizbullah inafanya mambo yanayoonyesha iko juu ya serikali ya Lebanon
-
Al-Wifaq: Wananchi wa Bahrain wataendelea kudai haki zao kwa njia ya amani
Jan 13, 2022 08:11Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wataendelea kudai haki zao kwa njia ya amani na kwamba, katu hawatasalimu amri katika njia hiyo.