-
Umoja wa Mataifa: Kunahitajika dola bilioni 3.9 kwa ajili ya kuwasaidia Wayamen
Jan 13, 2022 08:07Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika uratibu wa masuala ya kibinadamu (OCHA) ametangaza kuwa, kunahitajika dola bilioni 3.9 kwa ajili ya kuwasaidia mamilioni ya wananchi wa Yemn wanaohitahia misaada ya kibinadamu.
-
Al Houthi: UN inashindwa hata kutatua mgogoro mmoja wa mafuta itaviweza vita vya Yemen?
Jan 13, 2022 04:17Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ameilalamikia vikali jamii ya kimataifa kwa kutojali wala kushughuishwa na maafa ya kibinadamu wanayofanyiwa wananchi wa Yemen na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia na kusisitiza kuwa, Umoja wa Mataifa unashindwa hata kutatua mgogoro mmoja tu wa mafuta, utaweza kweli kutatua mgogoro wa vita vya Yemen?
-
Tamasha la wanawake wanaodansi "Samba" barabarani Jazan lazusha taharuki Saudia
Jan 13, 2022 00:43Kuonyeshwa taswira za wanawake wanaodansi katika bararaba za mji wa Jazan nchini Saudi Arabia kumezusha taharuki na makelele mengi ya upinzani katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pamoja na hasira na manung'uniko ya wananchi dhidi ya utendaji wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo.
-
Yemen: Ikiwa UAE itaendeleza uadui, tutaishambulia hadi ndani kabisa ya ardhi yake
Jan 13, 2022 00:42Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ameionya Imarati (UAE) kuwa, endapo itaendeleza uadui, vikosi vyao vya serikali ya uwokovu wa kitaifa vitashambulia hadi maeneo ya ndani kabisa ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Wanajeshi wa Kizayuni waendelea kubomoa nyumba za Wapalestina
Jan 12, 2022 12:16Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa nyumba 11 za raia wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Fedheha ya vyombo vya habari na mkanganyiko wa Saudi Arabia katika vita vya Yemen
Jan 12, 2022 08:30Saudi Arabia, ambayo imeshindwa vita vya Yemen, inaonekana kuchanganyikiwa kutokana na makosa yake katika vyombo vya habari.
-
Baraza la Usalama latakiwa kusaidia kurejesha amani nchini Yemen
Jan 12, 2022 04:44Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kusaidia juhudi za kurejesha amani na uthabiti nchini Yemen.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kiongozi wa Hamas mjini Doha
Jan 12, 2022 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 10, 2022 23:10Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Namna alivyokamatwa ajenti wa Mossad katika mauaji ya mwanasayansi wa Kipalestina
Jan 10, 2022 23:08Hatua ya vyombo vya kiintelijinsia vya muqawama ya kusikiliza mazungumzo ya mmoja wa wahusika wa mauaji ya kigaidi ya msomi na mwanasayansi wa Kipalestina aliyeuliwa huko Malaysia imepelekea kukamatwa ajenti huyo Ghaza kufuata oparesheni ya wanamuqawama.