-
Wanajeshi magaidi wa Marekani waiba makumi ya malori ya mafuta ya Syria
Jan 10, 2022 08:33Duru za kiusalama za Syria zimetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na wanajeshi magaidi wa Marekani umeiba malori mengine 79 ya mafuta ya Syria na kuyaingiza nchini Iraq.
-
Al Kadhimi ampongeza Spika mpya wa Bunge la Iraq
Jan 10, 2022 05:18Waziri Mkuu wa Iraq ametoa mkono wa pongezi kufuatia kuchaguliwa kwa mara ya pili Mohammed al Halbousi kuwa Spika mpya wa Bunge la Iraq katika duru ya pili ya utendaji wa bunge hilo.
-
Marekani yajenga kiwanda cha kusafishia mafuta ya kuiba huko Hasakah, Syria
Jan 09, 2022 23:11Wanajeshi magaidi wa Marekani pamoja na wanamgambo wenye mfungamano nao wamejenga kiwanda cha kusafishia mafuta huko Hasakah nchini Syria kwa lengo la kuiba mafuta ya nchi hiyo.
-
Madai na tuhuma zisizokoma za Saudi Arabia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Jan 09, 2022 08:58Madai na tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon zinaendelea kutolewa katika hali ambayo, makundi ya kisiasa ya Lebanon yanajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge uliopangwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu (2022).
-
Jeshi la Saudia laua wanawake na watoto wanne wa Yemen
Jan 09, 2022 04:30Jeshi la utawala vamizi wa Saudia limevurumisha mabomu katika nyumba za raia nchini Yemen na kuua wanawake na watoto wanne.
-
Mashahidi wawili katika siku moja; jinai zisizo na ukomo za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 09, 2022 00:09Wanajeshi na walowezi wa Kizayuni wa Israel siku ya Alkhamisi waliwauwa shahidi na kidhulma vijana wawili wa Kipalestina.
-
Nujabaa ya Iraq: Iran imevunja haiba ya majigambo ya jeshi la Marekani
Jan 08, 2022 04:08Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Nujabaa ya Iraq amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilivunja haiba ya ghururi na majigambo ya jeshi la Marekani kwa kuishambulia kambi ya askari wa jeshi hilo nchini Iraq.
-
Sheikh Naim Qassem: Hizbullah itatoa jibu kali kwa Saud Arabia
Jan 07, 2022 09:48Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu harakati hiyo na kusema kuwa, hatua hiyo inachochea machafuko nchini Lebanon na kwamba Hizbullah itatoa jibu kali kwa uchochezi huo.
-
HAMAS yasisitiza kusimama kidete muqawama mbele ya uvamizi wa Israel
Jan 07, 2022 04:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, makundi ya muqawama hayataweka mikono yao nyuma na kutazama tu hujuma na jinai za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapinzani wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel wanatiwa mbaroni Saudia
Jan 07, 2022 04:30Asasi moja ya kutetea haki za binadamu nchini Saudi Arabia imetangaza kuwa, vyombo vya usalama vya nchi hiyo vinawatia mbaroni wale wote wanaopinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa israel.