-
Ujumbe wa kimkakati wa kutekwa na kutwaliwa meli ya Imarati katika maji ya Yemen
Jan 06, 2022 23:52Kutekwa na kutwaliwa meli ya Imarati katika maji ya Yemen kunatuma ujumbe muhimu kwa nchi vamizi zinazoongozwa na Saudi Arabia.
-
Muungano vamizi wa Saudia waiba meli nyingine ya gesi ya wananchi wa Yemen
Jan 06, 2022 09:35Shirika la Gesi la Yemen limetangaza kuwa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umeiba meli nyingine ya gesi ya wananchi wa nchi hiyo katika Bahari Nyekundu.
-
Qaasimul-Jabbarin latangaza kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya Marekani ya Ainul-Asad, Iraq
Jan 06, 2022 04:26Saa kadhaa baada ya kuripotiwa na duru za Iraq habari ya kushambuliwa kwa roketi kambi ya Ainul-Asad ambayo ni makao ya wanajeshi wa Marekani, kundi moja la Kiiraqi limetangaza rasmi katika taarifa kwamba ndilo lililoshambulia kituo hicho cha anga kilichoko mkoani Al Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Palestina: Baadhi ya mataifa ya Waislamu yamekataa kufanya mapatano na Israel licha ya mashinikizo ya Marekani
Jan 06, 2022 00:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, baadhi ya mataifa ya Waislamu yamelikataa takwa la Marekani la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Rais wa Iraq: Jen. Soleimani alikimbilia kutusaidia katika wakati nyeti
Jan 05, 2022 23:22Rais wa Iraq amesema Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), aliitikia mwito wa taifa la Iraq na kwenda haraka kushirikiana na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika wakati hasasi wa kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Sheikh Hammoud: Walioanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel wamejiuza
Jan 05, 2022 08:59Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Muqawama amesema kuwa, walioanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel wamejiuza.
-
Hisham Abu Hawwash ashinda katika mapambano ya kugoma kula chakula
Jan 05, 2022 04:07Ushindi wa Hisham Abu Hawwash mateka wa Kipalestina katika vita yake ya kugoma kula chakula mkabala na utawala wa Kizayuni umepokelewa na wimbi la furaha na pongezi kutoka kwa wananchi na makundi ya muqawama ya Palestina na kukiri Wazayuni kuwa wameshindwa kukabiliana na muqawama wa Palestina.
-
Utawala wa Israel wabomoa kituo cha afya cha Wapalestina
Jan 04, 2022 23:06Utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa kituo cha afya na majengo mengine kadhaa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Mayahudi wa Marekani waonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa watu wa Palestina
Jan 04, 2022 10:11Wafuasi wa jamii ya Mayahudi wa madhehebu ya Orthodox nchini Marekani wameandamana kutangaza mshikamano na uungaji mkono kwa wananchi wa Palestina.
-
Nasrullah: Kupuuza uwepo wa US nchini Iraq, ni sawa na kumuua tena shahidi Soleimani
Jan 04, 2022 04:26Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha kupuuza uwepo wa vikosi vamizi vya Marekani nchini Iraq, ni sawa na kuuawa shahidi kwa mara ya pili Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.