-
Vikosi vya Yemen vyakamata meli ya Imarati (UAE) iliyokuwa na shehena ya zana za kijeshi
Jan 03, 2022 23:16Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesema, operesheni ya kukamata meli ya kijeshi ya Imarati ilikuwa ya namna ya kipekee na akasisitiza kuwa machaguo yote yako mezani kwa ajili ya kujibu mapigo kwa wavamizi.
-
Uhusiano wa Iran na Oman wazidi kuimarika, mawaziri wa mambo ya nje wazungumza
Jan 03, 2022 04:14Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya simu ikiwa ni ishara ya wazi ya kuzidi kuimarika uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu za Kiislamu.
-
Maelfu ya watu nchini Iraq wakusanyika sehemu alipouawa kigaidi Jenerali Soleimani
Jan 02, 2022 23:16Maelfu ya wananchi wa Iraq wamekusanyika katika sehemu ilipotokea jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad kwa mnasaba wa tarehe 3 Januari, na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa tangu kutokea jinai hiyo.
-
Jeshi la Yemen: Tumekomboa kilomita mraba elfu 12 mwaka uliopita wa 2021
Jan 02, 2022 23:06Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya jeshi la Yemen ameweka wazi mafanikio ya oparesheni za jeshi na makundi ya kujitolea ya wananchi wa Yemen mwaka uliopita wa 2021.
-
Waziri wa zamani wa uchukuzi Israel atoa wito wa kuuliwa kigaidi viongozi wa Hamas
Jan 02, 2022 23:06Waziri wa zamani wa Israel ametoa wito wa kuuawa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh na Yahya Sinwar, kufuatia makombora mawili yaliyorushwa na Hamas ambayo Wazayuni wanadai yameanguka baharini.
-
Miaka sita tangu kunyongwa Sheikh Nimr, ukandamizaji unaongezeka Saudia
Jan 02, 2022 11:53imepita miaka sita sasa tangu utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulipomnyonga manazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, ambaye alitoa wito wa kuwepo demokrasia katika nchi hiyo na kuitisha maandamano dhidi ya utawala huo
-
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Jan 02, 2022 01:07Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
-
Mrengo wa Nouri al-Maliki: Tumekubaliana juu ya namna serikali mpya ya Iraq itakavyokuwa
Jan 01, 2022 04:26Muungano wa Utawala wa Sheria wa Iraq umesema, yamefikiwa makubaliano kuhusu namna serikali mpya ya nchi hiyo itakavyokuwa na kwamba serikali hiyo itakuwa ni ya "maafikiano".
-
Utawala wa Kizayuni wathibitisha kutokea miripuko mitatu Tel Aviv na katika bandari ya Yafa
Jan 01, 2022 04:25Duru za Kiebrania zimeripoti kuwa milio ya miripuko kadhaa imesikika katika mji mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv na bandari ya Yafa, katika ardhi hizo za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Muqawama: Israel italipa gharama kubwa kwa uvamizi wowote dhidi ya Aqsa
Dec 31, 2021 23:29Makundi ya Muqawama ya Palestina yamesema luteka ya pamoja ya kijeshi iliyofanywa hivi karibuni na makundi ya mapambano ya Kiislamu katika Ukanda wa Gaza ilikuwa na ujumbe wa wazi kwamba, shambulio lolote dhidi ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa litapelekea Israel kulipa gharama kubwa.