-
Saudia yawaua wanajeshi wa Hadi mkoani Shabwah, Yemen
Dec 31, 2021 23:27Muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati umeua wanajeshi kadhaa wa rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu na kutoroka nchi, Abdu Rabbuh Mansour Hadi.
-
Iraq na tatizo sugu la ugaidi
Dec 31, 2021 09:02Japokuwa mtandao wa kigaidi wa DAESH (ISIS) umetokomezwa nchini Iraq, lakini kutokana na sababu tofauti, kitisho cha ugaidi kingali kipo nchini humo.
-
Al Khatib: Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wameshambulia Masjidul Aqsa mwaka huu wa 2021
Dec 31, 2021 04:48Ofisi ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Msikiti wa Al-Aqsa imetangaza kuwa, walowezi zaidi ya 34,000 wa Kizayuni wamefanya mashambulizi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa mwaka huu unaomalizika leo wa 2021.
-
Mkalimani wa jeshi: Tukio la maficho na kukamatwa Saddam 'lilitengezwa' na Marekani
Dec 30, 2021 08:10Mkalimani Muiraqi wa jeshi la Marekani, ambaye alikuwa akihudumu katika jeshi hilo wakati dikteta wa Iraq Saddam alipokamatwa amesema, ripoti zilizotolewa kuhusu mahali alipokuwa amejificha dikteta huyo na namna alivyotiwa nguvuni, walizitengeza Wamarekani wenyewe kwa sura ya kughushi.
-
Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina Ukingo wa Magharibi wakati wa usiku
Dec 30, 2021 04:45Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamefanya hujuma na mashambulio dhidi ya nyumba za Wapalestina katika kitongoji cha al-Laban kusini mwa mji wa Nablos kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Daesh yamchinja askari polisi wa Iraq; al Kadhimi asema watalipiza kisasi
Dec 30, 2021 00:07Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa atalipiza kisasi baada ya kusambaa mkanda mpya wa video uliorushwa hewani na kundi la kigaidi la Daesh ambapo askari polisi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq anaonekana akikatwa kichwa na gaidi wa Daesh (ISIS).
-
LRC: Wazayuni wamebomoa nyumba 950 za Wapalestina katika mwaka huu wa 2021
Dec 29, 2021 23:56Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka huu wa 2021 limebomoa nyumba na taasisi 950 za Wapalestina.
-
Mwangwi wa mkutano wa Abbas na waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni katika nyumba yake binafsi
Dec 29, 2021 11:59Gazeti la Kizayuni la Jerusalem Post liliripoti Jumanne usiku kwamba Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas, amekutana na Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz katika nyumba yake binafsi katika mji wa Rosh HaAyin na kutangaza kuwa, masuala ya usalama na uchumi ndiyo yaliyojadiliwa katika mazungumzo na mkutano huo.
-
HAMAS: Njama mpya za Israel huko Golan ni hujuma dhidi ya Waarabu
Dec 29, 2021 04:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Miinuko ya Golan ya Syria ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Waarabu wote.
-
Abbas akosolewa kwa kujidhalilisha mbele ya Waziri wa Vita wa Israel
Dec 29, 2021 04:12Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekosolewa vikali kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.