-
Waziri Mkuu wa Lebanon: Hizbullah ina haki ya kufanya shughuli zake sawa kabisa na vyama vingine vya siasa
Dec 28, 2021 09:07Waziri Mkuu wa Lebanon amesema kuwa harakati ya Hizbullah iko sawa kabisa na vyama vingine vya siasa vya nchini humo kwa kuwa ni chama cha siasa.
-
Kwa kuogopa nguvu za Hizbullah, Wazayuni wachimba mashimo ya kujifichia karibu na mpaka wa Lebanon
Dec 28, 2021 04:34Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa, kutokana na woga walio nao kuhusu nguvu za Hizbullah, viongozi wa Israel wameamua kuchimba mashimo ya kujifichia katika mpaka wa Lebanon na maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Maneva ya makundi ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 27, 2021 23:18Idara ya pamoja ya makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukanda wa Gaza ilitangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya makundi hayo yaliyopewa jina la "Al-Rukn al-Shadid 2" yalianza Jumapili iliyopita na yataendelea kwa siku kadhaa.
-
Muqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio kwa mafanikio kombora la Qassem-10
Dec 27, 2021 23:17Kundi la Kataaibul-Muqaawamatil-Wat'aniyyah la Palestina limetangaza kuwa limelifanyia majaribio kwa mafanikio kombora lililotengenezwa na wanamuqawama la "Qassem-10" huko Ukanda wa Gaza.
-
Mkuu wa Muungano wa al-Fat-h: Wairaqi wana deni kubwa kwa Kamanda Qasem Soleimani
Dec 27, 2021 23:15Mkuu wa Muungano wa kisiasa wa al Fat-h nchini Iraq amesema, Wairaqi wana deni kubwa kwa Shahidi Qasem Soleimani na Shahidi Abu Mahdi al Muhandis.
-
Jeshi la Yemen: Mkoa wa al Jawf umeshakombolewa kikamilifu
Dec 27, 2021 03:28Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema kuwa, mkoa wa al Jawf wa nchi hiyo umeshakombolewa kikamilifu kilichobakia ni mabaki ya hapa na pale tu ya wavamizi na mamluki wao.
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Saudia imekamata dazeni ya wanaharakati wa kike mwaka 2021
Dec 26, 2021 23:14Shirika la kutetea haki za binadamu limetoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia, likisema dazeni ya wanaharakati mashuhuri wa haki za wanawake wamekamatwa kiholela na askari wa utawala wa Riyadh katika kipindi chote cha mwaka huu.
-
Al Haddadi: Marekani inatumia mauzo ya silaha kwa malengo ya kisiasa
Dec 26, 2021 23:14Mwanachama wa Muungano wa Utawala wa Sheria wa Iraq amesema Marekani inatumia vibaya silaha za kijeshi kwa malengo yake ya kisiasa.
-
Mwandishi wa Bahrain: Watawala wa Kiarabu wa Ghuba ya Uajemi ni vikaragosi vya wakoloni
Dec 26, 2021 08:42Ibrahim al Mad-hun mwandishi na mchambuzi wa Kibahrain amesema, baadhi ya tawala za Kiarabu na hasa utawala wa Bahrain zimegeuzwa kikaragosi kinachochezeshwa na utawala wa Kizayuni na mkoloni Muingereza.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kuushambulia mji mkuu wa Yemen, Sana'a
Dec 26, 2021 04:42Ndege za muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia jana usiku kwa mara nyingine tena ziliushambulia kwa mabomu mji mkuu wa nchi hiyo, Sana'a.