-
Iraq yasisitiza kulindwa umoja wa ardhi yote ya Syria
Dec 26, 2021 04:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq amesema kuwa Baghdad ikiwa kama mwanachama mtazamaji katika kikao cha Astana inasisitiza kuhusu msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Syria kwa njia za kisiasa.
-
Matokeo ya kujitenga na maadili ya Kiislamu, Saudia sasa imekuwa mji mkuu wa dawa za kulevya
Dec 25, 2021 23:05Katika miezi ya hivi karibuni, kumetolewa ripoti kadhaa za ulanguzi wa dawa za kulevya, haswa aina Captagon na magendo ya kiwango kikubwa cha dawa hizo nchini Saudi Arabia.
-
Abdussalam: Mwisho mbaya ndio matokeo ya jinai za muungano wa Saudia nchini Yemen
Dec 25, 2021 09:19Msemaji wa serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa kwa jinai zinazofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na akasema, kuendelea kwa jinai hizo hakutakuwa na matokeo mengine isipokuwa wavamizi hao kufikwa na mwisho mbaya.
-
Rais wa Lebanon: Tunahitaji miaka 7 kutoka kwenye hali mbaya tuliyonayo sasa
Dec 25, 2021 07:39Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, nchi hiyo inahitaji muda wa miaka sita hadi saba kutoka kwenye hali mbaya inayokabiliana nayo hivi sasa.
-
Foreign Policy: Saudi Arabia imekuwa kitovu cha dawa za kulevya Asia Magharibi
Dec 25, 2021 01:01Jarida la Marekani la Foreign Policy limeandika kuwa, matumizi ya dawa za kulevya nchini Saudi Arabia yameongezeka kwa kasi kutokana na juhudi za Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman za kubadilisha utamaduni na itikadi za jamii ya nchi hiyo.
-
Baada kushadidi mashambulio dhidi ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a yatoa onyo kali kwa wavamizi
Dec 24, 2021 04:23Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen yenye makao makuu yake mjini Sana'a ametoa onyo kali kwa Saudia na wavamizi wenzake ambao wameshadidisha vibaya mashambulio ya kikatili dhidi ya wananchi wa mji mkuu huyo wa Yemen na amesema, moto wa wananchi mashujaa wa Yemen utaunguza mataji ya tawala zao.
-
Ndege za muungano vamizi wa Saudia zauandama mji mkuu wa Yemen kwa mashambulio ya mabomu
Dec 23, 2021 08:34Ndege za kivita za muuungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeshambulia kwa mabomo mara kkadhaa mji mkuu wa Yemen Sana'a na kusababisha uharibu mkubwa.
-
Safari ya Guterres na kunyamazia kwake kimya ukaidi wa Israel wa kutoheshimu anga ya Lebanon
Dec 23, 2021 04:57Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri Jumatatu alifanya mazungumzo na waandishi wa habari akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres na alikumbushia wajibu wa kuchorwa mpaka wa wazi baina ya Lebanon na ardhi za Palestina.
-
HAMAS: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel hakuna matokeo mengine ghairi ya kusambaratika
Dec 22, 2021 23:22Mushir al-Masri, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kueleza kwamba, mataifa hayo hakuna yatakachochuma ghairi ya kusambaratika.
-
Hamas na Jihad Islami: Ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani na Tel Aviv hautadhoofisha mapambano ya Wapalestina
Dec 22, 2021 09:59Harakati za Hamas na Jihad Islami zimetoa taarifa ya pamoja zikitaka kusitishwa mara moja hatua za taasisi za usalama za Mamlaka ya Ndani dhidi ya taifa la Palestina na mateka walioachiwa huru kutoka kwenye korokoro za Israel.