-
Kufa shahidi Balozi wa Iran nchini Yemen na ukubwa wa jinai ya mzingiro iliowekewa nchi hiyo na utawala wa Aal Saud
Dec 22, 2021 07:30Kufa shahidi Hasan Irlu, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Sana'a kumedhihirisha ukubwa wa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud nchini humo.
-
Zaidi ya Wazayuni milioni mbili na laki 5 wanaishi chini ya mstari wa umaskini
Dec 22, 2021 04:03Taasisi za misaada za utawala wa Kizayuni zimetoa ripoti mpya na kusema kuwa, Wazayuni milioni 2 na laki 5 na 40,000 wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
-
Uwanja wa ndege wa Sana'a, Yemen wafungwa kutokana na mashambulio makali ya Saudia
Dec 21, 2021 23:13Naibu Mkuu wa shirika la ndege la Yemen amesema, uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sana'a umefungwa kutokana na kushadidi mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Shirika la haki za binadamu la al Karama laishitaki Saudi Arabia UN
Dec 21, 2021 04:48Shirika la kutetea haki za binadamu la al Karama limetuma ripoti kwa Kamati ya Kukabiliana na Mateso ya Umoja wa Mataifa likieleza kiwango cha juu cha mateso na unyanyasaji unaofanyika katika jela za utawala wa Saudi Arabia.
-
Ibn Habtour: Saudi Arabia haiwezi kuvunja irada na azma ya watu wa Yemen
Dec 21, 2021 04:11Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa vikosi vya jeshi la Yemeni vimepata mafanikio makubwa mbele ya Wasaudia na kusisitiza kuwa, Saudi Arabia haiwezi kukwamisha matakwa ya watu wa Yemen.
-
Jihad Islami: Kukamatwa Mujahidina wa Palestina hakuzuii mapambano dhidi ya Wazayuni
Dec 20, 2021 23:06Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina imetangaza kuwa kutiwa mbaroni maafisa na Mujahidina wa Palestina hakutazuia makundi ya muqawama kuendelea kukabiliana na uvamizi na vitendo vya kiuadui vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
2021; mwaka wa vifo vingi zaidi vya watoto wa Palestina katika kipindi cha miaka 7 iliyopita
Dec 20, 2021 06:33Tovuti moja ya habari ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, baada ya mwaka 2014 yaani wakati vilipotokea vita vya siku 51 na kuuawa shahidi idadi kubwa ya watoto wa Palestina, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya watoto wa Kipalestina waliouliwa shahidi na Israel.
-
Barua ya Palestina kwa Baraza la Usalama kuhusu hujuma za walowezi wa Kizayuni
Dec 20, 2021 04:38Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka kusitishwa hujuma na mashambulio ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Lebanon kutanguliza mbele matakwa vya wananchi
Dec 20, 2021 04:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Lebanon kufanya kazi kwa pamoja ili kutatua migogoro iliyopo nchini humo, huku akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuisaidia na kuiunga mkono Lebanon kutokana na matatizo yake ya sasa.
-
Askari wa Israel wamewaua watoto 2000 Wapalestina
Dec 20, 2021 01:09Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi watoto Wapalestina zaidi ya 2,000 tokea mwaka 2000