-
Makundi ya Palestina yatoa indhari: Gaza inanyemelewa na maafa ya kibinadamu
Dec 19, 2021 09:24Harakati za Palestina za HAMAS na Jihadul-Islami zimetahadharisha kuwa eneo la Ukanda wa Gaza linakabiliwa na hali mbaya sana ya kibinadamu kutokana na mzingiro wa kinyama liliowekewa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu
Dec 19, 2021 04:47Timu ya Taifa ya kandanda ya Algeria imefanikiwa kushinda mashindano ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Waarabu yaliyofanyika nchini Qatar na kuwatunuku Wapalestina kombe hilo.
-
HAMAS yaionya Israel kuhusiana na hujuma zake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Dec 18, 2021 23:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kushadidisha hujuma na mashambulio yake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel
Dec 18, 2021 09:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura za kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Oparesheni ya Nablos; jibu la Wapalestina kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 18, 2021 09:10Walowezi wawili wa Kizayuni wamejeruhiwa na mmoja kuangamizwa katika ufyatuaji risasi wa siku ya Alhamisi iliyopita karibu na kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi cha Homesh huko Nablos katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan inayokaliwa kwa mabavu.
-
Makamanda waandamizi 53 wa muungano vamizi wa Saudia waangamizwa mkoani Ma'rib, Yemen
Dec 17, 2021 09:54Tovuti ya habari ya al Khabar al Yamani imeripoti kuwa, katika miezi ya karibuni, makamanda waandamizi 53 wa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wameangamizwa mkoani Ma'rib.
-
Lengo la mkutano wa Islamabad ni kuisaidia nchi ya Afghanistan
Dec 17, 2021 08:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesema kuwa, lengo la kikao cha Islamabad ni mkusanyiko wa kimataifa kwa ajili ya kuisaidia Afghanistan.
-
UN: Kujenga upya maisha ya Wayemeni ni kugumu zaidi kuliko kujenga upya miundombinu ya nchi hiyo
Dec 17, 2021 04:38Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen ametilia mkazo udharura wa kuhuishwa na kujengwa upya maisha ya watu wa Yemen na kusema kuwa, uchumi wa nchi hiyo na maisha ya ndani vimesambaratika.
-
Mkutano wa 42 wa Baraza na Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi; misimamo ya kukaririwa na isiyo na utendaji
Dec 16, 2021 23:20Mkutano wa 42 wa viongozi wan chi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ulifanyika Jumanne iliyopita ya tarehe 14 Disemba katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Mapambano ya silaha na Israel na umoja wa Wapalestina; mihimili mikuu miwili ya harakati ya HAMAS
Dec 16, 2021 08:12Jumanne ya juzi tarehe 14 Disemba ilinasadifiana na mwaka wa 34 tangu kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS.