-
Sasa Hamas ina uwezo wa kupiga popote katika ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel
Dec 16, 2021 04:00Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, sasa harakati hiyo ya Kiislamu ina nguvu kubwa za kijeshi ambazo zinaiwezesha kupiga popote katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Shirika la kutetea haki za watoto: 2021, ni mwaka waliouliwa watoto wengi zaidi wa Palestina
Dec 15, 2021 23:57Shirika moja la kutetea haki za watoto limesema, tokea 2014 hadi sasa, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia umwagaji mkubwa zaidi wa damu za watoto wa Palestina.
-
George Kordahi: Sina cha kujutia; ndio kwanza majukumu yangu ya kisiasa yameanza
Dec 15, 2021 23:25Waziri wa zamani wa Habari wa Lebanon aliyejiuzulu hivi karibuni amesema kuwa, hana cha kujutia kwa matamshi yake ya huko nyuma ya kuviona vita vya Saudi Arabia huko Yemen kuwa ni vya kipuuzi na visivyo na maana.
-
Hizbullah: Marekani inaongoza vita dhidi ya muqawama Lebanon na Asia Magharibi
Dec 15, 2021 10:27Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inaongoza na kusimamia vita dhidi ya muqawama nchini Lebanon na eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35
Dec 15, 2021 04:17Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeamua kusimamisha mazungumzo yake na Marekani kuhusu makubaliano ya kununua ndege za kivita aina ya F-35 zenye thamani ya dola bilioni 23.
-
Mufti wa Palestina amlaani mbunge wa Marekani aliyependekeza Msikiti wa Al Aqsa uvunjwe
Dec 14, 2021 22:59Mufti wa Mji wa Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani vikali matamshi ya mbunge mmoja nchini Marekani ambaye ametaka Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds uvunjwe.
-
Mgogoro wa kibinadamu ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Afghanistan
Dec 14, 2021 22:58Afisa mmoja wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) amesema kuwa, mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan ni wa aina yake na haujawahi kushuhudiwa.
-
Yemen: Tunataka kuwa na uhusiano wa kirafiki na nchi zote isipokuwa utawala wa Kizayuni
Dec 14, 2021 09:23Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema, "sisi tukiwa ndio serikali na utawala wa Yemen tunataka kuwa na uhusiano mzuri na nchi zote isipokuwa utawala wa Kizayuni."
-
Safari ya Bennett Imarati; sambamba na mazungumzo ya Vienna na mkutano wa Riyadh
Dec 14, 2021 09:21Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Jumapili usiku aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi na kulakiwa na Abdallah bin Zayed al-Nahyan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Imarati.
-
HAMAS yawahimiza Wapalestina wote kuuhami msikiti wa Al Aqsa na njama chafu za Wazayuni
Dec 14, 2021 07:24Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imewatolea mwito Wapalestina wote wanaoishi katika ardhi zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na wa mji mtakatifu wa Quds wajitokeze kila mara na kwa wingi katika msikiti wa Al Aqsa ili kukihami kibla hicho cha kwanza cha Waislamu na njama chafu za adui Mzayuni.