-
Kupunguzwa kwa bajeti ya kijeshi ya Saudia; matokeo ya mahesabu yasiyo sahihi
Dec 13, 2021 23:55Saudi Arabia imetangaza kuwa itapunguza bajeti ya kijeshi ya mwaka ujao kwa asilimia 10 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
-
Kamanda wa ngazi za juu wa wavamizi wa Yemen aangamizwa kusini mwa Ma'rib + Video
Dec 13, 2021 23:53Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa, Meja Jenerali Nasser al Dhaibani, kamanda wa ngazi za juu zaidi wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ameangamizwa katika mapigano ya kusini mwa mkoa wa Ma'rib nchini Yemen.
-
Michel Aoun: Jamii ya Kimataifa itekeleze ahadi zake kuhusu wakimbizi wa Syria
Dec 13, 2021 23:12Rais Michel Aoun wa Lebanon ameitaka Jamii ya Kimataifa itekeleze ahadi zake kuhusu kurahisisha njia za kurejea nchini kwao wakimbizi wa Syria walioko Lebanon.
-
Wasaudia wengi wapinga kuanzishwa rasmi uhusiano na utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2021 09:51Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni unaonyesha kuwa, asilimia 77 ya wananchi wa Saudi Arabia wanapinga suala la kuanzishwa rasmi uhusiano kati ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mkuu wa Harakati ya Kiislamu katika ardhi za Palestina zilizoghusubiwa mwaka 1948 aachiwa huru
Dec 13, 2021 09:30Duru za habari zimearifu kuwa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu katika ardhi za Palestina zilizokaliwa kwa mabavu tangu mwaka 1948 ameachiwa huru kutoka katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria
Dec 13, 2021 09:03Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wa zamani wa jeshi wa Marekani, kwamba kitengo cha operesheni za siri cha jeshi la nchi hiyo kilikuwa kikiwaua mara kwa mara raia katika operesheni zilizotajwa kuwa ni dhidi ya Daesh nchini Syria.
-
Jihad Islami: Kuanzisha uhusiano na adui Mzayuni ni khiyana na usaliti kwa Palestina
Dec 13, 2021 05:59Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imelaani vikali kitendo cha viongozi wa Imarati cha kumpokea nchini humo Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, hiyo ni khiyana na usaliti kwa taifa la Palestina.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Wanajeshi wa Marekani lazima waondoke
Dec 12, 2021 08:26Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, suala la kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo haliepukiki na kwamba jambo hilo litaanza karibuni hivi.
-
Yemen: Ukombozi wa mkoa wa Ma'rib umemalizika, yaliyobakia ni makeke tu ya mamluki
Dec 12, 2021 08:05Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen yenye makao makuu yake mjini Sana'a amesema kuwa, ukombozi wa mkoa wa Ma'rib umeshakamilika na lililobakia hivi sasa ni makelele na makeke ya kukata roho mamluki wa madola vamizi.
-
Palestina, kipaumbele muhimu zaidi cha Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 12, 2021 01:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kadhia ya Palestina ndio kipaumbele kikubwa zaidi cha Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba kambi ya muqawama na mapambano ndiyo sababu ya kudhalilishwa na kuchukiwa Wazayuni.