-
Wasaudia wawashambulia kwa ndege mamluki wao wakidhani ni Ansarullah
Dec 11, 2021 06:56Jeshi la anga la Saudi Arabia limefanya mashambulizi makali ya ndege dhidi ya mamluki wake katika mkoa wa Ma'rib nchini Yemen likidhani ni wanamapambano wa ukombozi wa Yemen, Ansarullah.
-
Jihad Islami yatilia mkazo kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel
Dec 11, 2021 06:43Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imemesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Harakati ya HAMAS yaadhimisha miaka 34 ya kuasisiwa kwake
Dec 10, 2021 23:15Idadi kubwa ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wameshiriki katika maadhimisho ya mwaka wa 34 wa kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
UN yatoa azimio dhidi ya maamuzi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu eneo la Golan
Dec 10, 2021 09:36Umoja wa Mataifa mapema leo Ijumaa umepasisha azimio linalolaani na kubatilisha hatua zote za Israel katika eneo la Syria la Golan linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuutaka utawala wa Kizayuni ukomeshe hatua zote zinazokiuka sheria za kimataifa.
-
Israel yapata kiwewe kikubwa cha mashambulio tarajiwa ya HAMAS
Dec 10, 2021 04:29Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na kiwewe kikubwa cha mashambulio tarajiwa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS baada ya viongozi wa harakati hiyo kusisitiza kuwa, watatoa majibu makali kwa uchokozi na chokochoko za jeshi la utawala huo ghasibu.
-
Iraq yatangaza kumalizika majukumu ya wanajeshi wa muungano wa kimataifa
Dec 10, 2021 01:10Serikali ya Iraq imetangaza kumalizika rasmi majukumu na kazi za wanajeshi wa eti muungano wa kimataifa chini ya uongozi wa Marekani nchini humo.
-
Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni
Dec 09, 2021 06:19Mamia ya wakati wa Tel-Aviv, makao makuu ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo wakishinikiza kujiuzulu waziri mkuu Naftali Bennett na kutaka arejee madarakani Benjamin Netanyahu.
-
Duru: Jeshi la Yemen liko karibu kukomboa mkoa wa Ma'arib
Dec 09, 2021 04:41Mwanachama wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amedokeza kuwa, mkoa wa Ma'rib unakaribia kukombolewa kikamilifu kutoka mikononi mwa wavamizi wanaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Safari ya siku tano ya mrithi wa ufalme wa Saudia katika nchi tano za Kiarabu
Dec 08, 2021 08:51Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kitu cha Ufalme wa Saudi Arabia wiki hii anafanya safari katika nchi za Kiarabu ambapo ameanzia Oman.
-
Wall Street Journal: Silaha za Saudia zimekaribia kwisha, yaomba msaada wa haraka
Dec 08, 2021 04:08Gazeti la Wall Street Journal limewanukuu viongozi wa Marekani wakisema kuwa, akiba ya silaha za Saudi Arabia imebakia kidogo kumalizika na hivi sasa ni vigumu nchi hiyo kuweza kukabiliana na mashambulio ya kila wiki ya droni na makombora kutoka Yemen hivyo Riyadh imeziomba Marekani na waifiraki wake wengine wa Ulaya kuitumia haraka silaha nyingine.