-
Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Saudia ni ajenti wa ubalozi wa Marekani Beirut
Dec 07, 2021 23:04Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema: nafasi haribifu ya Saudi Arabia nchini Lebanon imekuwa kubwa zaidi kuliko harakati chafu za ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani: Washington haitaondoka Iraq mwishoni mwa 2021
Dec 07, 2021 23:03Aliyekuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani David Schenker amedai kuwa, nchi hiyo haina nia ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2021.
-
Jeshi la Yemen: Tumeishambulia Wizara ya Ulinzi ya Saudia huko Riyadh
Dec 07, 2021 09:46Msemaji wa Jeshi la Yemen amebainisha kuhusu "oparesheni ya Disemba Saba" na kueleza kuwa vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza oparesheni ya kijeshi ya kipekee huko Riyadh, Jedddah, Taif, Jizan, Najran na Asir katika ardhi ya Saudi Arabia.
-
HAMAS: 'Maandamano ya Bendera' ya Wazayuni hayawezi kubadilisha utambulisho wa Palestina
Dec 06, 2021 09:33Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, maandamano ya Wazayuni wakiwa wamebeba bendera za utawala haramu wa Israel hayawezi kubadilisha utambulisho wa Kiarabu na Kipalestina wa ardhi hizo na wakazi asili wa ardhi hizo.
-
George Kordahi: Sikuwa mtu wa kwanza kuviona vita vya Saudia huko Yemen kuwa ni upuuzi
Dec 06, 2021 09:18Waziri wa zamani wa Habari wa Lebanon aliyejiuzulu hivi karibuni amezungumza kwa mara yaa kwanza katikka mahojiano tangu ajiuzulu na kueleza kwamba, yeye hakuwa mtu wa kwanza kuviona vita vya Saudi Arabia huko Yemen kuwa ni vya kipuuzi na visivyo na maana.
-
HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel
Dec 06, 2021 03:40Harakati ya Mapambano ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kukaribisha kwa mikono miwili hatua ya serikali ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo.
-
Saudia yaendelea kumwaga damu za raia nchini Yemen
Dec 05, 2021 10:56Kwa akali watu 30 wameuawa na kujeruhiwa kufuatia mashambulio ya anga ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Aal-Saud dhidi ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
-
Onyo kuhusu hatari ya kupata nguvu tena genge la Daesh eneo la Kurdistan nchini Iraq
Dec 05, 2021 07:33Mkuu wa chama cha Democrat cha eneo la Kurdistan la Iraq na ambaye pia ni rais wa serikali ya ndani ya eneo hilo ameonya kuhusu hatari ya kupata nguvu upya genge la Daesh (ISIS) kwenye eneo hilo.
-
Muhammad Abdulsalam: Jamii ya kimataifa inawashajiisha Wasaudia kutenda jinai
Dec 05, 2021 03:40Msemaji wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amelaani jinai zinazoendelea kufanywa na muungano vamizi wa Saudia dhidi ya raia wasio na hatia wala ulinzi wa nchi yake.
-
Kuwait yapiga marufuku meli za Israel kutia nanga nchini humo
Dec 05, 2021 02:49Serikali ya Kuwait imezipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo au kubeba bidhaa kutoka Kuwait kuelekea Israel.