-
Marekani yaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika vita vya Yemen
Dec 04, 2021 23:07Mashambulio ya mabomu dhidi ya Yemen yanayofanywa na jeshi la muungano unaoongozwa na Saudi Arabia yanaendelea huku nchi za Magharibi, zinazotoa nara za kutetea haki za binadamu hususan Marekani, zikiendelea kuisaidia Saudi Arabia katika kutenda jinai dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Hania: Mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel unapaswa kusitishwa mara moja
Dec 04, 2021 07:55Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, Umma wa Kiislamu unapaswa kufanya juhudi za kusitisha sera za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Ofisi ya Haki za Binadamu Yemen yalaani mauaji ya Saudi Arabia na washirika wake
Dec 04, 2021 07:53Ofisi ya Haki za Binadamu katika mkoa wa Taizz nchini Yemen imelaani vikali jinai za utawala vamizi wa Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Wapalestina wasiopungua 45,000 wahudhuria Swala ya Ijumaa Al Aqsa
Dec 04, 2021 04:11Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua raia 16 Yemen
Dec 04, 2021 04:05Ndege za kivita za muungano vamizi wa Saudia zimedondosha mabomu katika wilaya ya Maqbanah mkoani Taiz nchini Yemen na kuua raia wasiopungua 16.
-
Waziri wa Lebanon aliyekosoa hujuma ya Saudia Yemen ajiuzulu
Dec 04, 2021 01:12Waziri wa Habari wa Lebanon George Kordahi amejiuzulu ili kupunguza mgogoro wa nchi yake na Saudi Arabia baada ya kauli yake ya kukosoa vita vya Saudia dhidi ya Yemen.
-
Iran na Syria kuimarisha zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara
Dec 03, 2021 07:19Waziri wa Uchumi wa Syria amesema kuwa, nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina nia ya kweli ya kuimarisha zaidi na zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara.
-
Ismail Hania: Marekani siyo 'polisi wa dunia', itaendelea kuchezea 'vipigo'
Dec 03, 2021 04:19Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani siyo 'polisi wa dunia' na kwamba, kuondoka Marekani nhuko Afghanistan kutafuatiwa na kuondola taifa hilo katika maeneo mengine.
-
Jihad al-Islami: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kutoa huduma ya bure kwa Wazayuni
Dec 03, 2021 00:57Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni kutoa huduma ya bure kwa Wazayuni magharsibu.
-
Licha ya kujitweza, Saudia na UAE zinamdhalilisha Mansour Hadi
Dec 03, 2021 00:56Licha ya rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu na kutoroka nchi, Abdu Rabbuh Mansour Hadi kujipendekeza na kujitweza kwa Saudi Arabia na Imarati, lakini watawala wa Riyadh na Abu Dhabi wameendelea kumdhalilisha na kumtolea vitisho mwanasiasa huyo wa Yemen mwenye umri wa miaka 76.