-
"Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama"
Dec 03, 2021 00:54Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha'abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu.
-
Saudia yataka kuzuia uchunguzi wa ukiukaji haki za binadamu Yemen usifanyike
Dec 02, 2021 03:38Gazeti la The Guardian la Uingereza limeripoti kuwa, Saudi Arabia inajaribu kuuzuia Umoja wa Mataifa usifanye uchunguzi wa ukiukaji haki za binadamu uliofanywa nchini Yemen.
-
HAMAS: Mabunge ya Kiarabu na Kiislamu yazuie kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 01, 2021 23:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeyataka mabunge ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu yasimame kidete na kuzizuia serikali zao kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais wa Lebanon: Hizbullah ni mwakilishi wa Walebanon wote
Dec 01, 2021 03:58Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza kuwa harakati ya Hizbullah inahesabiwa kuwa ni mwakilishi wa watu wa Lebanon na haijatenda kosa lolote.
-
Matokeo rasmi ya uchaguzi wa Iraq yatangazwa, mirengo iliyoshinda yabaki kama ilivyokuwa
Dec 01, 2021 03:56Kamisheni Kuu ya Uchaguzi ya Iraq, baada ya kupita siku 51 tangu ulipofanyika uchaguzi wa bunge, imetangaza matokeo rasmi ya mwisho baada ya kusikiliza malalamiko yaliyowasilishwa kupinga matokeo rasmi ya uchaguzi huo yaliyotangazwa awali.
-
Syria: Tunaunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Beitul-Muqaddas
Nov 30, 2021 08:32Serikali ya Syria kwa mara nyingine tena imesisiitiza kuwa, inaunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Beitul-Muqaddas.
-
Al Houthi: Maadui wanalenga kuitawala Yemen kupitia kuibua mifarakano
Nov 30, 2021 04:26Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ameonya kuhusu njama za maadui za kuibua fitina na mifarakano kwa lengo la kueneza satwa yao katika nchi hiyo.
-
OIC yamlaani rais wa Israel kwa kuingia Msikiti wa Ibrahim AS kinyume cha sheria
Nov 30, 2021 04:24Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hatua ya Rais Isaac Herzog wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia kinyume cha sheria katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil au Hebron kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi
Nov 30, 2021 01:00Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD limechapisha ripoti inayoonyesha kuwa sera za ukaliaji mabavu za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimesababisha hasara ya kiuchumi ya zaidi ya dola bilioni 57 kwa taifa la Palestina katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.
-
Guterres: Hali ya mambo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Palestina inatishia amani
Nov 29, 2021 10:30Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali ya mambo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu huko Palestina ni tishio kwa amani na uthabiti wa kiimataiifa.