-
Hania: Kuachiwa huru mateka wa Kipalestina ni kipaumbele
Nov 28, 2021 23:51Ismail Hania Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa moja ya daghadagha za harakati hiyo ni suala la kuachiwa huru mateka wa Kipalestina.
-
Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel
Nov 28, 2021 08:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mpango wa Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog wa kuutembelea Mstikiti wa Ibrahim kusini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Umoja wa Maulamaa Waislamu: Ni haramu kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Nov 28, 2021 04:33Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa Waislamu umelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu.
-
HAMAS yaanzisha kampeni kubwa ya uhamasishaji kukabiliana na hatua ya Uingereza dhidi yake
Nov 27, 2021 23:22Mshauri wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Ismail Haniya ameagiza ianzishwe kampeni kubwa ya uhamasishaji ya kuunga mkono kadhia ya Palestina ili kukabiliana na hatua ya karibuni ya Uingereza dhidi ya Hamas.
-
Iraq: Tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini haibadilishiki
Nov 27, 2021 23:20Msemaji wa Komandi ya Operesheni za Pamoja ya Iraq amesema kuwa, wakati wa kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo haibadilishiki.
-
Taliban yaituhumu CIA kuwa inafanya mipango ya kuigawa Afghanistan
Nov 27, 2021 23:20Afisa wa ngazi ya juu wa kundi la Taliban ametangaza kuwa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA linafanya jitihada za kuigawa Afghanistan.
-
Nasrullah: Ushindi wa mwaka 2000 uliiletea Lebanon uhuru wa kujitawala
Nov 27, 2021 09:02Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameashiria kukombolewa katika mwaka 2000 maeneo ya ardhi ya nchi hiyo yaliyokuwa yakikaliwa kwa mabavu na akasema: "ushindi huo umeiletea nchi yetu uhuru wa kujitawala na kuipa uthabiti haki yake ya mamlaka ya utawala."
-
Wananchi wa Jordan waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 27, 2021 04:32Mamia ya wananchi wa Jordan wameandamana wakilalamikia mwenendo wa mataifa ya Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
PLO yalaani makubaliano ya kijeshi ya Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 27, 2021 04:30Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imelaani vikali makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa baina ya Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel na kueleza kuwa, mabaliano hayo ni zawadi kwa wavamizi.
-
Australia inaitumikia Marekani na utawala wa Kizayuni
Nov 27, 2021 00:12Serikali ya Australia imeiweka harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya eti makundi ya kigaidi sambamba na kuipiga marufuku harakati hiyo katika hatua ambayo inayonekana imechukuliwa ili kuihudumia Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.