-
Uhusiano wa Iran na UAE uko katika mkondo wa kuboreka
Nov 26, 2021 08:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa amesema kumefikiwa mapatano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kuboresha uhusiano wa nchi hizi mbili.
-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; kushindwa siasa za kuvuruga usalama wa eneo
Nov 26, 2021 07:05Mwanachama wa Kamisheni ya Usalama wa Kitaifa na Siasa za kigeni ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema ombi la nchi za Kiarabu la kutaka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, ni alama ya kushindwa siasa za kuvuruga usalama na kutaka kubadilisha muundo wa siasa nchini Syria.
-
Az-Zahar: Wazayuni hawana mustakabali wowote Palestina
Nov 26, 2021 04:15Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mayahudi wazayuni hawana mustakabali wowote katika Palestina na kwamba watu wa ardhi hiyo watawatimua wazayuni hao.
-
Marekani yaendeleza njama za umwagaji damu ili kuhakikisha haitimuliwi nchini Iraq
Nov 25, 2021 23:18Makundi ya kisisa nchini Iraq yamesema kuwa, Marekani inaendelea kufanya njama za kuchochea machafuko na umwagaji damu nchini Iraq ili kujiwekea kinga ya kutotimuliwa nchini humo.
-
"Jenerali mtesaji" wa Imarati ateuliwa kuongoza Polisi ya Kimataifa (Interpol)
Nov 25, 2021 11:02Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) limemteua Jenerali wa Imarati aneyetuhumiwa kutesa watu kuwa mkuu wake mpya kufuatia mkutano wake wa kila mwaka uliofanyika mjini Instanbul Uturuki.
-
Israel yaidhinisha ujenzi haramu wa nyumba 3000 za Wazayuni mjini Quds
Nov 25, 2021 04:30Utawala haramu wa Israel umeidhinisha ujenzi haramu wa nyumba 3000 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zilizoghusubiwa katika mji mtakatifu wa Quds.
-
Safari ya mrithi wa ufalme wa Imarati nchini Uturuki; sababu na malengo yake
Nov 25, 2021 04:07Mohammed Bin Zayed Al Nayhan, mrithi wa ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) jana Jumatano tarehe 24 Novemba aliwasili mjini Ankara, Uturuki ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.
-
Hizbullah yalaani vikali uamuzi wa Australia
Nov 25, 2021 01:01Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Australia wa kukiweka chama hicho katika orodha ya makundi ya kigaidi na kusema hatua hiyo ni kujidhalilisha nchi hiyo mbele ya matakwa ya Marekani, utawala wa Kizayuni na sera za ugaidi na mauaji.
-
Makamanda wawili wa usalama Iraq wakamatwa kuhusiana na jaribio la kumuua waziri mkuu
Nov 24, 2021 13:27Afisa mmoja wa jeshi nchini Iraq ametangaza kuwa, makamanda wawili wa usalama wametiwa nguvuni kuhusiana na njama na jaribio la kumuua waziri mkuu Mustafa al-Kadhimi.
-
Mrithi wa ufalme wa Saudia apendekeza kulinunua shirika la Israel linalojihusisha na ujasusi
Nov 24, 2021 12:31Duru moja katika ofisi ya ufalme wa Saudi Arabia imetangaza kuwa, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Mohammad bin Salman ametoa pendekezo la kulinunua shirika la utawala haramu wa Kizayuni linalojihusisha na ujasusi la NSO ambalo linakaribia kufilisika.