-
Mrithi wa ufalme wa Saudia apendekeza kulinunua shirika la Israel linalojihusisha na ujasusi
Nov 24, 2021 12:31Duru moja katika ofisi ya ufalme wa Saudi Arabia imetangaza kuwa, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Mohammad bin Salman ametoa pendekezo la kulinunua shirika la utawala haramu wa Kizayuni linalojihusisha na ujasusi la NSO ambalo linakaribia kufilisika.
-
Kongamano la usalama la Manama; kutokuwa na natija mikutano ya usalama kama hii kwa ajili ya eneo la Asia Magharibi
Nov 23, 2021 22:58Kongamano la 17 la usalama wa Asia Magharibi linalojulikana kama Mazungumzo ya 2021 ya Manama lilimalizika hivi karibuni nchini Bahrain.
-
Russia: Lebanon haipasi kufanywa mahali pa kukomoana na kulipiziana visasi nchi zingine
Nov 22, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, ana matumaini serikali mpya ya Lebanon itaweza kuhitimisha mgogoro wa muda mrefu wa kisiasa na akataka nchi hiyo isitumiwe kuwa mahali pa nchi zingine kukomoana na kulipiziana visasi.
-
Wayemen waandamana kulaani uungaji mkono wa US kwa wavamizi
Nov 22, 2021 08:31Maelfu ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano katika mkoa wa Sa'ada,kaskazini magharibi mwa nchi kulaani hatua ya Marekani ya kuunga mkono muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya taifa hilo maskini la Kiarabu.
-
Iraq: Msimamo wetu ni kuunga mkono Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Nov 22, 2021 04:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iraq amesema kuwa, msimamo wa serikali ya nchi hiyo ni kuunga mkono taifa la Palestina na kwamba, Baghdad inataka taifa hilo madhulumu lirejeshewe haki zake zote zilizoporwa na kughusubiwa na utawala haramu wa Israel.
-
Muungano vamizi wa Saudi Arabia washambulia maeneo mbalimbali ya Yemen
Nov 22, 2021 04:43Ndege za kijeshi za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimefanya hujuma na mashambulio ya anga dhidi ya maeneo mbalimbali ya Yemen.
-
Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi
Nov 22, 2021 04:41Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamefanya hujuma na mashambulio dhidi ya nyumba za Wapalestina kusini mwa mji wa Nablos ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wananchi wa Bahrain wwandamana kuwaunga mkono wafungwa wa kisiasa
Nov 22, 2021 04:40Wananchi wa Bahrain wameandamana wakiwaunga mkono wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo na kutoa wito wa kuachiliwa huru wafungwa hao.
-
Siku ambayo Jenerali Soleimani alitangaza kuangamizwa ISIS
Nov 22, 2021 01:49Miaka minne iliyopita, tarehe 21 Novemba 2017, Meja Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC, alimtumia ujumbe Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akitangaza kuangamizwa satwa khabithi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Onyo la makundi ya mapambano ya Iraq kuhusu kuondoka askari wa Marekani
Nov 21, 2021 22:53Kufuatia uvumi unaoenezwa kuhusu kutotekelezwa ratiba ya kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq, makundi ya mapambano ya nchi hiyo yametoa onyo kali kuhusu jambo hilo.