-
Haniya: Iran ni nguzo muhimu ya kambi ya muqawama
Nov 21, 2021 08:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuitaja kama nguzo kuu na muhimu ya mrengo wa muqawama wa Wapalestina.
-
Watoto wa Kipalestina 77 wauawa shahidi tangu kuanza mwaka huu wa 2021
Nov 21, 2021 04:48Taasisi moja ya Haki za Binadamu imeripoti kuwa utawala ghasibu wa Israel umewauwa watoto wa Kipalestina 77 tangu kuanza mwaka huu wa 2021 hadi sasa.
-
Asilimia 87 ya mihadarati ya mmea wa mpopi (opium) inazalishwa nchini Afghanistan
Nov 20, 2021 23:29Uzalishaji wa madawa ya kulevya yanayotokana na mmea wa mpopi maarufu kwa jina la "tiyrak" au "opium" umeongezeka sana nchini Afghanistan, na hivi sasa asilimia 87 ya madawa hayo haramu duniani, yanazalishwa nchini humo.
-
Jeshi la Iraq lakanusha: Muda wa kuwepo kijeshi Marekani haujarefushwa
Nov 20, 2021 08:51Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za Iraq amesema muda wa kuwepo wanajeshi wa Marekani nchini humo haujarefushwa.
-
Sheikh Naim Qassim: Njama na mipango michafu ya Israel dhidi ya Lebanon imegonga ukuta
Nov 20, 2021 04:46Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njama na mipango michafu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon imeshindwa na kugonga mwamba.
-
Ripoti: Vibarua 50 wahamiaji walifariki dunia nchini Qatar mwaka 2020
Nov 20, 2021 04:46Shirika la Kazi Duniani la Umoja wa Mataifa {ILO} limetangaza katika ripoti yake kuwa, wafanyakazi 50 wahamiaji walifariki dunia nchini Qatar mwaka jana 2020.
-
Wananchi wa Yemen waandamana kulaani jinai za muungano vamizi wa Saudia Arabia
Nov 20, 2021 04:44Maelfu ya wananchi wa Yemen wameandamana katika mji wa bandari wa al-Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo na kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya mateka wa kijeshi na wa kamati za wananchi za kujitolea.
-
Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga
Nov 20, 2021 01:15Kufanyika safari za kidiplomasia nchini Syria ni dalili ya wazi kwamba siasa za wapinzani za kujaribu kuitenga serikali ya Damascus zimegonga mwamba.
-
Khalid Mash'al: Kufanya mapatano na utawala wa Kizayuni ni kulisaliti taifa la Palestina
Nov 19, 2021 08:29Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nje ya nchi amesema mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni kosa kubwa na usaliti kwa taifa la Palestina.
-
George Kordahi: Hizbullah ndio tatizo hasa kwa Saudia katika uhusiano wake na Lebanon
Nov 19, 2021 08:17Waziri wa Habari wa Lebanon amesema, tatizo hasa la Saudi Arabia na nchi yake halitokani na matamshi aliyotoa yeye hivi karibuni, bali linahusiana na harakati ya muqawama ya nchi hiyo, Hizbullah.