-
Watoto 300 wa Yemen wanaaga dunia kila siku kwa utapiamlo
Nov 19, 2021 04:20Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema mamia ya watoto wa Yemen wanafariki dunia ndani ya kila saa 24 kutokana na utapiamlo, huku muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia ukiendelea kufanya mashambulizi na kuliwewekea mzingiro wa kila upande taifa hilo maskini la Kiarabu.
-
Jeshi la Yemen latoa onyo kali kwa askari wa Saudia
Nov 19, 2021 04:13Msemaji wa jeshi la Yemen amewaonya vikali wanajeshi na mamluki wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen na kueleza kuwa, Riyadh na watifaki wake watabeba dhima ya matokeo mabaya ya chokochoko zao mpya.
-
Jihad Islami: Utawala wa Kizayuni unatenda jinai ya kivita dhidi ya mateka wa Kipalestina
Nov 18, 2021 23:27Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetoa taarifa ikitangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya jinai za kivita dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala huo.
-
UN: Waliohusika na mauaji ya mateka 10 wa kivita Yemen wafunguliwe mashtaka
Nov 18, 2021 23:26Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akilaani mauaji yaliyofanywa na mamluki na vibaraka wa Saudi Arabia dhidi ya matekani 10 wa vita wa jeshi la Yemen na kusema kuwa mauaji hayo yanakiuka sheria za kimataifa na haki za binadamu.
-
Mateka wa Kipalestina aliyenyimwa matibabu afariki shahidi katika jela za Israel
Nov 18, 2021 07:23Mateka wa Kipalestina aliyekuwa anashikiliwa katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekufa shahidi baada ya kunyimwa matibabu.
-
Jinai ya kivita ya mamluki wa Saudi Arabia dhidi ya mateka wa kivita nchini Yemen
Nov 17, 2021 23:25Muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia huko Yemen siku za karibuni uliwanyonga mateka 10 wa kivita wa jeshi la Yemen. Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imesema kuwa hatua hiyo ni jinai ya kivita.
-
Wanajeshi wa Israel wavamia Quds na mabuldoza yao na kuharibu mali za Wapalestina
Nov 17, 2021 10:09Mabuldoza ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel yamevamia maeneo ya kaskazini mwa mji wa Quds na kuharibu mali na miliki za Wapalestina katika maeneo hayo.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Benjamin Netanyahu aburuzwa mahakamani
Nov 17, 2021 02:27Tovuti moja ya Kizayuni imeripoti kuwa, Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameburuzwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi.
-
"Njama za Marekani za kuzusha fitna katika safu za Waislamu wa Kishia Iraq, zimefeli"
Nov 16, 2021 23:05Mjumbe wa mrengo wa Fat'h katika bunge la Iraq amesema kuwa, njama za Marekani za kuzusha fitna na mifarakano baina ya Waislamu wa Kishia, zimeshindwa.
-
Sababu za mamluki wa Saudia na Imarati kuondoka magharibi mwa Yemen
Nov 16, 2021 22:59Katika siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa vikosi vya muungano vamizi wa Saudi Arabi-Imarati vikiondoka katika ngome zao katika mji wa bandari wa al-Hudaydah.