-
Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad: Jela za Saudia ni makaburi ya waandishi wa habari
Nov 16, 2021 03:22Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad limeripoti kuwa jela za Saudi Arabia zimekuwa makaburi ya waandishi wa habari wanaoukosoa utawala wa kifalme wa nchi hiyo.
-
Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen: Kunyongwa mateka 10 wa jeshi la Yemen ni jinai ya kivita
Nov 16, 2021 03:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imesema kuwa hatua ya wanamgambo wa muungano vamiziwa Saudi Arabia ya kuwanyongwa mateka 10 wa jeshi la Yemen huko magharibi mwa nchi hiyo ni jinai ya kivita.
-
Malengo ya kisiasa ya mazoezi ya kijeshi ya Israel na nchi kadhaa za Kiarabu
Nov 15, 2021 23:00Mazoezi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yameongezeka sana katika siku za karibuni. Wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, mazoezi hayo ya kijeshi ni kielelezo cha wasiwasi wa usalama wa Israel na woga wa utawala huo kutokana na kambi ya mapambano na kwamba yanafanyika kwa malengo ya kisiasa.
-
Hizbullah: Saudia inataka kuudhoofisha muqawama Lebanon
Nov 15, 2021 08:13Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema lengo kuu la Saudi Arabia kuibua mzozo wa kidiplomasia baina ya Lebanon na nchi za Ghuba ya Uajemi ni kudhoofisha mrengo wa muqawama na kulipigisha magoti taifa hilo la Kiarabu.
-
Muungano wa Saudia unashirikiana na al-Qaeda vitani Yemen
Nov 15, 2021 04:38Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa Yemen inasema muungano vamizi wa Saudia ambao umekuwa vitani na nchi hiyo masikini unashirikiana na magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Qaeda katika jinai dhidi ya watu wa Yemen.
-
Hizbullah yalaani mazoezi ya kijeshi ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu
Nov 14, 2021 23:17Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel ni jambia katika moyo wa Quds, Palestina na mataifa yote ya Magharibi mwa Asia.
-
Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria
Nov 14, 2021 07:42Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).
-
Hamas yapongeza msimamo wa Algeria wa kupinga uhusiano na Israel
Nov 14, 2021 01:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeipongeza Algeria kwa kupinga uanzishwaji uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kinara wa Al Qaeda asema wanaisaidia Saudia vitani Yemen
Nov 14, 2021 01:24Kinara mmoja wa kundi la kigaidi la Al Qaeda amekiri kuwa kundi hilo linashirikiana kwa karibu na muungano vamizi wa Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
-
Ma'rib yashambuliwa vikali na wavamizi, al Houthi asema, wavamizi wamechanganyikiwa
Nov 13, 2021 08:11Muhammad Ali al Houthi, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amezungumzia hatua ya wavamizi wa nchi hiyo ya kukimbia kwenye maeneo mengi ya mkoa wa al Hudaidah na kushadidisha mashambulizi ya kipunguani nchini Yemen na kusema kuwa, wavamizi wanaongozwa na Saudia na Imarati wamechanganyikiwa.