-
Hamad bin Jassim: Matukio ya sasa ya Sudan ni natija ya njama za Israel na nchi moja ya Kiarabu
Nov 13, 2021 04:40Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar amesema kuwa, yanayotokea leo nchini Sudan ni natija ya mipango ya utawala haramu wa Israel na nchi moja ya Kiarabu.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan
Nov 13, 2021 00:48Mwakilishi wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Afghanistan ametahadharisha kuhusu mgogoro mkubwa wa kibinadamu unaoinyemelea nchi hiyo.
-
Jeshi la Yemen lakomboa makumi ya maeneo waliyokimbia wavamizi
Nov 13, 2021 00:48Vyombo vya habari vya Yemen vimetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na kamati za ukombozi za kujitolea za wananchi limefanikiwa kukomboa makumi ya maeneo ambayo madola vamizi yameyakimbia huko magharabi mwa nchi.
-
Hotuba ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi
Nov 12, 2021 22:53Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amehutubia kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi na kuzungumzia masuala mbalimbali kama kadhia ya Syria, mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na sera za Saudi ArabiA dhidi ya Lebanon.
-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Israel, Bahrain, UAE na Marekani
Nov 12, 2021 07:17Majeshi ya majini ya utawala haramu wa Israel, Bahrain, Marekani na Umoja wa Falme za Kiarabu yamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Sham hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa pande hizo nne kukiri wazi kuwa zinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi.
-
Umoja wa Mataifa dhidi ya Yemen
Nov 12, 2021 07:10Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewaweka viongozi watatu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha ya watu waliowekewa vikwazo na baraza hilo.
-
Sayyid Nasrullah: Nchi za Kiarabu zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi
Nov 12, 2021 04:22Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa nchi za Kiarabu hatimaye zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi.
-
Ismail Hania: Tunapambana kufa na kupona kuhakikisha mateka wa Kipalestina wanaachiliwa huru
Nov 11, 2021 22:52Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, suala ka kuachiliwa huru mateka wa Kipalestina ni miongoni mwa mambo yanayopewa kipaumbele na harakati hiyo.
-
Onyo la Umoja wa Mataifa dhidi ya watoto wa Yemen kunyimwa fursa ya masomo
Nov 11, 2021 05:58Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu OCHA amesema zaidi ya watoto milioni mbili wa Yemen hawana fursa ya kwenda shule.
-
Makombora ya Yemen yaua idadi kubwa ya askari vamizi wa Saudia
Nov 11, 2021 04:41Jeshi la Yemen, likishirikiana na wapiganaji wa Kamati za Wananchi limefanya mashambulizi ya kulipiza kisasi kwa kuvurumisha makombora yalioua idadi kubwa ya askari wa Saudi Arabia na mamluki wake katika eneo la Asir, kusini magharibi mwa Saudia.