-
Hizbullah yaitaka Saudia iache kuingilia mambo ya ndani ya Lebanon
Nov 11, 2021 04:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameitaka Saudi Arabia ikome kabisa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo, huku mgogoro wa kidiplomasia baina ya nchi mbili hizo za Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Sababu za miamala ya kinyama na kishenzi wanayofanyiwa mateka Wapalestina na utawala wa Kizayuni
Nov 10, 2021 08:43Duru za Palestina, zikimnukuu Abdulatif al-Qanua, msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetahadharisha kuwa, hali mbaya ya mazingira yasiyo ya kibinadamu wanayoishi mateka Wapalestina, ambao wanashikiliwa kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni, yatakuwa cheche itakayowasha moto wa mapigano ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.
-
Hamas: Hali mbaya ya mateka wa Kipalestina katika jela za Israel itaibua vita
Nov 10, 2021 02:45Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislmu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, hali mbaya ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za Israel utazucha cheche za mlipuko wa vita na utawala huo ghasibu.
-
Saudia yawaondoa askari wake na zana za kijeshi katika mji wa Aden, Yemen
Nov 09, 2021 23:10Duru moja katika mji wa Aden imeripoti kuwa, idadi kubwa ya askari wa Saudi Arabia na zana za kijeshi za nchi hiyo wameondolewa katika mji huo wa kuisni mwa Yemen kwa kutumia meli na ndege ya mizigo.
-
Baada ya miaka 10, Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati aitembelea Syria
Nov 09, 2021 23:09Vyombo vya habari vya Kiarabu vimetangaza kuwa baada ya kupita kipindi cha miaka 10, Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati (UAE) amefanya safari ya kuitembelea Syria.
-
Al khazali atilia shaka riwaya rasmi juu ya jaribo la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq
Nov 09, 2021 09:06Katibu Mkuu wa harakati ya Asaib Ahlul Haq nchini Iraq ametilia shaka riwaya na ripoti rasmi iliyotolewa na vyombo vya dola kuhusu shambulizi lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa nchi hio, Mustafa al Kadhimi mjini Baghdadi siku chache zilizopita
-
Jeshi la Yemen latungua drone ya kijasusi ya Marekani ya ScanEagle huko Ma'rib
Nov 09, 2021 08:27Jeshi la Yemen, likishirikiana na wapiganaji wa Kamati za Wananchi, limefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani (drone) ya Kimarekani ya ScanEagle ambayo ilikuwa na jeshi la Saudia kufanya ujasusi katika mkoa wa Ma'rib ambao umekuwa ukishuhudia mapigano makali hivi karibuni.
-
Ngao ya ulinzi wa anga ya Syria yatungua makombora ya Wazayuni
Nov 09, 2021 04:44Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye maeneo ya pwani na katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Israel imewafanyia ujasusi wafanyakazi wa asasi za kirai za Palestina
Nov 09, 2021 04:40Shirika moja la kutetea haki za binadamu la Ulaya limefichua kuwa, programu ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni ya Pegasus imetumika kuwachunguza na kuwafuatilia wafanyakazi wa asasi za kiraia za Kipalestina, hususan zilizowekwa kwenye eti ya orodha ya ugaidi ya Tel Aviv.
-
Misaada mingine ya Shirika la Afya Duniani (WHO) yawasili Kabul, Afghanistan
Nov 08, 2021 07:50Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, misaada yake mingine inayojumuisha suhula na zana za kitiba kwa ajili ya kuwahudumia watoto 5,000 imewasili katika mji mkuu wa Afghanistan Kabul.