-
Israel imewafanyia ujasusi wafanyakazi wa asasi za kirai za Palestina
Nov 09, 2021 04:40Shirika moja la kutetea haki za binadamu la Ulaya limefichua kuwa, programu ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni ya Pegasus imetumika kuwachunguza na kuwafuatilia wafanyakazi wa asasi za kiraia za Kipalestina, hususan zilizowekwa kwenye eti ya orodha ya ugaidi ya Tel Aviv.
-
Misaada mingine ya Shirika la Afya Duniani (WHO) yawasili Kabul, Afghanistan
Nov 08, 2021 07:50Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, misaada yake mingine inayojumuisha suhula na zana za kitiba kwa ajili ya kuwahudumia watoto 5,000 imewasili katika mji mkuu wa Afghanistan Kabul.
-
Shambaulio la kutiliwa shaka dhidi ya makazi ya Mustafa al-Kadhimi
Nov 08, 2021 07:21Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq alinusurika kifo jana alfajiri kufuatia shambulio la kombora lililofanyika dhidi ya makazi yake mjini Baghdad.
-
Ndege za kivita za Saudia zafanya mashambulizi makubwa Sana'a na Saada huko Yemen
Nov 08, 2021 04:51Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia maeneo mbalimbali katika mkoa wa Saada na katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
-
Katibu Mkuu wa UN alaani jaribio la kutaka kumuua Waziri Mkuu wa Iraq
Nov 08, 2021 04:42Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani jaribio la kutaka kumuua Mustafa al Kadhimi Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon: Tunataka kudumishwa usalama Iraq
Nov 07, 2021 23:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani kushambuliwa makazi ya Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi. Shambulio hilo lilikusudiwa kumuuwa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Rais wa Iraq alaani njama ya kumuua waziri mkuu wa nchi hiyo al-Kadhimi
Nov 07, 2021 08:57Rais Barham Salih wa Iraq amelaani jaribio la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al-Kadhimi.
-
UNICEF: Zaidi ya watoto 460 wamefariki dunia kwa vita Afghanistan miezi sita ya awali mwaka huu
Nov 07, 2021 04:19Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, kwa akali watoto 460 wameuawa nchini Afghanistan kufuatia vita na machafuko katika nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq anusurika kifo katika jaribio la mauaji kwa kutumia drone
Nov 07, 2021 00:56Mustafa al-Khadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq, amenusurika kifo katika jaribio la mauaji lililofanywa kwa kutumia ndege zisizo rubani zenye silaha zilizoyalenga makazi yake katika Ukanda wa Kijani wenye ulinzi mkali katika mji mkuu Baghdad.
-
Jihad al Islami yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 07, 2021 00:11Kiongozi mmoja mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Jihad al Islami wa Palestina ametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel akitahadharisha kuwa, kama mateka mmoja tu wa Palestina atauawa shahidi, basi utawala huo utalipa jinai yake hiyo.