-
Wanazuoni wa Ahlusunna: Watawala wa Saudia wanaeneza ufisadi wa kimaadili
Nov 06, 2021 12:33Wanazuoni wa Ahlusunna kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu wametoa taarifa ya pamoja wakipinga ufisadi wa kimaadili na harakati za uharibifu na dhidi ya dini zinazofanywa na utawala wa Saudi Arabia katika ardhi wa wahyi ya Hijaz.
-
Jeshi la Yemen ladhibiti ngome ya mwisho ya wavamizi Wasaudi huko Ma'rib
Nov 06, 2021 01:34Jeshi la Yemen limeendelea kusonga mbele katika mkoa wa Ma'rib na kuchukua udhibiti wa ngome ya mwisho iliyokuwa inakaliwa kwa mabavu na wanajeshi vamizi wa Saudi Arabia.
-
Dalili za kupungua nafasi ya Marekani Asia Magharibi
Nov 05, 2021 23:56Tarehe 4 Novemba imetengwa katika kalenda ya Iran kuwa siku ya mapambano dhidi ya uistikabari wa dunia (ubeberu/ujeuri)
-
Hizbullah yaitaka Saudia iiombe radhi Lebanon
Nov 05, 2021 23:55Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia inapaswa kuliomba radhi taifa la Lebanon kutokana na mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Marekani yaafiki kuiuzia Saudi Arabia makombora yatakayogharimu dola milioni 650
Nov 05, 2021 04:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema nchi hiyo imeafiki ombi la Saudi Arabia la kuuziwa makombora ya anga kwa anga pamoja na zana zinazohusika kwa thamani ya dola milioni 650.
-
Zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo vya uchaguzi vya mikoa minne ya Iraq lamalizika
Nov 05, 2021 04:00Tume ya Uchaguzi ya Iraq imetangaza kuwa zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo ya uchaguzi wa bunge vilivyozusha mzozo vya mikoa minne iliyosalia ya Diyala, Babel, Karbala na Najaf limemalizika.
-
UNRWA: Nusu ya watoto wa Ukanda wa Ghaza wanahitaji msaada wa kisaikolojia
Nov 04, 2021 20:25Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa nusu ya watoto wa Kipalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza wanahitaji msaada wa kisaikolojia kutokana athari za vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku
Nov 04, 2021 08:32Kamanda wa Operesheni za Kambi ya Ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo mkubwa wa makombora ambao unaiwezesha kuushambulia utawala wa Kizayuni kwa maelfu ya makombora kila siku kama vita baina ya pande hizo mbili vitatokea.
-
Sheikh Naeem Qasim: Juhudi za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli
Nov 04, 2021 04:22Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa uvamizi wa Marekani nchini Syria na juhudi za nchi hiyo za kutaka kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli na kugonga mwamba.
-
Muqawama wa Palestina walitumia ujumbe wa pongezi jeshi la SEPAH baada ya kuzima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman
Nov 03, 2021 23:09Kamati za Muqawama wa Wananchi wa Palestina zimetuma salamu za pongezi kwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) ya kufanikiwa kuzima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman.