-
Hizbullah: Lebanon haitasalimu amri kwa vitisho vya Saudi Arabia
Nov 03, 2021 09:07Mjumbe wa Baraza Kuu la la chama cha Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa nchi hiyo haitasalimu amrii mbele ya mashinikizo na vitisho vya Saudi Arabia.
-
HAMAS: Hakuna dola lolote linaloweza kuwalazimisha Wapalestina watoke katika ardhi zao
Nov 03, 2021 04:13Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, hakuna dola lolote duniani lenye uwezo wa kulilazisha taifa la Palesitna liondoke katika ardhi zake na kuzifumbia macho.
-
Yahya Saree: Imebakia miji miwili tu hadi kutimuliwa kikamilifu wavamizi wa Kisaudi mkoani Ma'rib Yemen
Nov 03, 2021 00:06Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema kuwa, imebakia miji miwili tu hadi kukombolewa kikamilifu mkoa wa Ma'rib na kutimuliwa Wasaudia wavamizi na mamluki wao katika mkoa huo muhimu sana.
-
Jihad Islami yatishia kuingia katika vita vya moja kwa moja na Israel
Nov 03, 2021 00:03Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa itaanzisha vita silaha vya moja kwa moja dhidi ya utawala haramu wa Israel, iwapo utawala huo utaendelea kuwanyanyasa na kuwakandamiza wafungwa wa Kipalestina.
-
Hamaki za Israel hata kwa “ripoti isiyo na dhamana” ya Baraza la Haki za Binadamu la Umioja wa Mataifa
Nov 02, 2021 22:58Kitendo cha mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Gilad Erdan cha kurarua na kuchanachana kwa hasira ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo kuhusu jinai za utawala huo huko Palestina kimeonyesha wazi kwamba, utawala huo hauwezi kuvumilia hata ripoti ambazo kimsingi “hazina dhama ya utekelezwaji wake”.
-
25 wauawa katika mashambulizi pacha ya mabomu Afghanistan
Nov 02, 2021 10:44Makumi ya watu wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea leo katika hospitali ya kijeshi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi
Nov 02, 2021 08:53Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema katika mahojiano na Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya kwamba, matatizo na mvutano wa nchi yake na Lebanon ni zaidi ya matamshi ya waziri wa habari wa nchi hiyo, kwani Saudia haikubaliani kabisa na suala la kupata nguvu waitifaki wa Iran nchini Lebanon na katika eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Viongozi wa Israel wakiri kushindwa katika vita vya mawasiliano ya Intaneti
Nov 01, 2021 21:29Televisheni moja ya nchini Lebanon imetangaza kuwa, viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamekiri kwamba wameshindwa katika vita vya mawasiliano ya Intaneti (Cyber War) na hadi hivi sasa wameshindwa kujua namna ya kujihami katika vita hivyo.
-
Wakurdi wa Syria wakubali kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Serikali
Nov 01, 2021 21:29Mjumbe wa Baraza Kuu la chama cha Umoja wa Demokrasia cha Wakurdi amesema kuwa, chama chake, mirengo tanzu na taasisi zilizoko chini chama hicho ikiwemo ile ya kupigania eneo la utawala wa ndani la Wakurdi ziko tayari kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na serikali ya Rais Bashar al Assad nchini Syria.
-
Sababu na malengo ya mashinikizo mazito ya Saudia na washirika wake dhidi ya Lebanon
Nov 01, 2021 21:28Saudi Arabia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut ikiwa ni jibu kwa matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Habari wa Lebanon kuhusu vita vya Yemen. Riyadh pia imemfukuza balozi wa Lebanon nchini Saudi Arabia.