-
Hizbullah: Saudia imeibua mgogoro na Lebanon kutokana na hofu ya kushindwa Yemen'
Nov 01, 2021 04:47Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema mgogoro wa kidiplomasia ulioibuka baina ya nchi hiyo na Saudia unatokana na hofu ya Mrithi wa Ufalme wa Saudia Mohammad bin Salman kuwa mji wa kistratijia wa Ma'rib utakombolewa.
-
Saudia yakerwa na ukweli wa matamashi ya Waziri wa Habari wa Lebanon
Oct 31, 2021 23:39Katika kulalamikia matamshi yaliyotolewa siku ya Ijumaa na George Kurdahi, Waziri wa Habari wa Lebanon aliyekosoa uvamizi wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen na kuutaja kuwa usio na maana, Saudia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut na kumtaka balozi wa Lebanon pia aondoke nchini humo mara moja.
-
Aal-Khalifa yashadidisha ukandamizaji dhidi ya Wabahrain
Oct 31, 2021 23:39Vikosi vya usalama vya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain vimewatiwa mbaroni wanaharakati wengine wa kisiasa wanaoupinga na kuukosoa utawala huo wa kiukoo.
-
Wanajeshi kadhaa wa Mali wauawa katika mashambulizi tofauti
Oct 31, 2021 23:38Jeshi la Mali limetangaza habari ya kuuawa askari saba wa nchi hiyo katika mashambulizi mawili tofauti huko magharibi mwa nchi.
-
Wanachuo wa Iran waunga mkono kauli ya waziri wa Lebanon dhidi ya Saudia
Oct 31, 2021 23:37Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametangaza kuunga mkono matamshi ya Waziri wa Habari wa Lebanon, George Kordahi ya kulaani mashambulio ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Oman yazitaka pande zenye mvutano wa kidiplomasia na Beirut kustahimiliana
Oct 31, 2021 04:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman imeeleza kusikitishwa na mvutano wa kidiplomasia uliopo kati ya Riyadh na baadhi ya nchi za Kiarabu na Beirut na kuzitaka pande zote kustahamiliana.
-
Al Bukhaiti: Lengo la Saudia ni kuwapigisha magoti wananchi wa Lebanon
Oct 30, 2021 22:51Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa hatua ya Saudi Arabia ya kumfukuza balozi wa Lebanon nchini humo ni kujaribu kuwapigisha magoti wananchi wa Lebanon na kuwafanya watumwa wake.
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya watoto milioni moja nchini Afghanistan
Oct 30, 2021 22:50Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadharisha kuwa, watoto milioni moja wa Afghanistan wako katika hali mbaya na hatari ya kupoteza maisha kutokana na lishe duni.
-
Ismail Haniya: Utawala haramu wa Israel umo katika hali ya kudhoofika zaidi
Oct 30, 2021 09:33Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hii leo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umo katika hali ya kudhoofika sana na katu hauwezi kuwa na ushawishi tena katika eneo la Asia Magharibi.
-
Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox Quds ataka kuhitimishwa vita dhidi ya Yemen
Oct 30, 2021 09:02Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox huko Quds Palestina ametoa mwito wa kusitishwa vita nchini Yemen na kukomeshwa mashambulio dhidi ya watu wasio na hatia wa nchi hiyo.