-
Mwakilishi wa Wazayuni achana ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za Israel
Oct 30, 2021 09:01Mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amechanachana ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu la Uumoja wa Mataifa iliyokuwa ikileleza jinai zilizofanywa na Israel dhidi ya Palestina.
-
Mwaka wa 65 wa jinai na mauaji ya Israel huko Kfar Qasim
Oct 30, 2021 07:47Maelfu ya Wapalestina wamehudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kutisha yaliyofanywa na utawla haramu wa Israel dhidi ya raia wa eneo la Kfar Qasim miaka 65 iliyopita.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon asikitishwa na uamuzi wa Saudia kuhusiana na mabalozi wa nchi mbili
Oct 30, 2021 04:15Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati amesema, amesikitishwa na uamuzi wa Saudi Arabia wa kumpa muhula maalumu balozi wa Lebanon awe ameshaondoka nchini humo sambamba na kumwita nyumbani balozi wake wa mjini Beirut.
-
Saudia yamwita nyumbani balozi wake wa Lebanon, yamtaka wa Lebanon pia aondoke nchini humo
Oct 29, 2021 23:53Saudi Arabia imemwita nyumbani balozi wake wa Lebanon na kumtaka balozi wa nchi hiyo pia aondoke mjini Riyadh, likiwa ni jibu kwa matamshi ya ukosoaji aliyotoa waziri wa habari wa Lebanon kuhusiana na uchokozi na uvamizi wa kijeshi uliofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.
-
EU yakosoa hatua ya Israel ya kujenga vitongoji zaidi vya walowezi mjini Quds
Oct 29, 2021 23:24Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Saudia katika njia ya kuimarisha uhusiano wake na utawala dhalimu wa Israel
Oct 29, 2021 23:14Gazeti la Kizayuni la Globes linalochapishwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mbavu - ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel - limeandika kuwa, kumefikiwa makubaliano mengi baina ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia kwa mashinikizo ya nchi mbili za Kiarabu za Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
HAMAS: Mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni ni jinai za kivita
Oct 29, 2021 04:39Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali mpango wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika maeneo ya Wapalestina na kusema kuwa, hatua hiyo ni jinai za kivita.
-
Majasusi wa Israel wahukumiwa kifo Ukanda wa Gaza
Oct 29, 2021 00:17Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza imewahukumu kifo majajusi sita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Riyadh yaomba msaada wa silaha wa Marekani ili kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen
Oct 29, 2021 00:17Ripoti imefichua kuwa Saudi Arabia imeiomba Marekani iipatie silaha ili iboreshe mifumo yake ya makombora na hivyo kuweza kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen.
-
Hali mbaya zaidi ya kiuchumi na kibinaadamu wanayokabiliana nayo wananchi wa Syria
Oct 28, 2021 13:31Mgogoro wa ndani wa Syria na uungaji mkono wa mhimili wa Waarabu, Waebrania, Wamagharibi na Waturuki kwa makundi ya kigaidi, vimepelekea kushadidi hali ya ufukara na umasikini nchini humo, jambo ambalo hata Umoja wa Mataifa pia umeamua kulitolea indhari.